Top Stories
View all
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YABORESHA AFYA NA ELIMU KIYONGWE
Na Maelezo Zanzibar 06.05.2026 Matumizi ya nishati safi ya kupikia imeendelea kuleta mafanikio katika jamii ambapo wananchi wa kijiji cha Bumbwini Kiyongwe wanamefaika kiafya,…
PROF. MKENDA: UTEKELEZAJI WA ELIMU YA MIAKA 10 KUANZA 2028
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeweka wazi mpango wa utekelezaji wa mfumo wa elimu ya lazima ya miaka kumi ambao unalenga…
ZAIDI YA BILIONI 33 ZA MRADI WA TACTIC KUJENGA BARABARA, MASOKO NA FUKWE TANGA JIJI
Tanga Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Mhandisi Juma Hamsini amesema utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) katika Jiji la Tanga…
PROF. MKENDA: WANUFAIKA WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KUONGEZEKA HADI WANAFUNZI 292,981 MWAKA 2026/27
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali itaendelea kuongeza fursa kwa wanafunzi wa…
WIZARA YA ELIMU YABAINISHA VIPAUMBELE VIPYA KUIMARISHA UBORA NA FURSA ZA ELIMU NCHINI
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof . Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya elimu…
PROF. MKENDA: WALIMU 150 WA AMALI WAMEPATIWA MAFUNZO YA UFUNDI INDIA
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf F. Mkenda (Mb.) amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza katika…
SERIKALI YAONGEZA UDAHILI VETA, WANAFUNZI ZAIDI YA ELFU 315 WADAHILIWA NCHINI”
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf F. Mkenda, amesema kuwa Serikali imeendelea kuimarisha elimu ya…
KATARINA NYERI: TUKIO LA NYUKI LAIBUA MASWALI NÀ WITO WA UTULIVU
Wakazi wa Karatina, Kaunti ya Nyeri, walijikuta katika hali ya mshangao baada ya tukio lisilo la kawaida kuripotiwa karibu na eneo la mahakama. Kundi…
BIASHARA YAPAA: WAJASIRIAMALI WANAVYOTAFUTA MUONGOZO WA MAFANIKIO KUPITIA KIWANGA DOCTORS
Katika mazingira ya ushindani mkubwa wa kibiashara, wajasiriamali wengi wanatafuta njia mbalimbali za kuboresha utendaji wa biashara zao. Mbali na mikakati ya kawaida kama…
WIZARA YA ELIMU YAOMBA TRILIONI 2.3 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU NCHINI
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeiomba Serikali kuidhinisha jumla ya takribani Sh trilioni 2.3 kwa ajili…
TMDA PAMOJA NA WADAU WASHIRIKI MJADALA WA JOP0 LA MEZA YA DUARA KUHUSU MRADI WA BREEDIME
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) pamoja na wadau mbalimbali wameshiriki mjadala wa jopo la meza ya duara uliofanyika katika siku ya mwisho…
SERIKALI YAIMARISHA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA ELIMU
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya TEHAMA…
SAMIA SCHOLARSHIP YAENDELEA KUWAINUA VIJANA KATIKA TEKNOLOJIA
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza katika maendeleo ya vijana…
DC KILWA AIPONGEZA TANESCO KWA KUJIPANGA KUFIKISHA UMEME KATIKA BANDARI YA UVUVI – KILWA
*Asema ni Mradi wa kimkakati wenye fursa za kiuchumi kwa maslahi mapana ya nchi *Amtaka Mkandarasi kukamilisha mifumo ya upokeaji umeme kutoka TANESCO Mkuu…
HABARI PICHA: NAIBU WAZIRI WANU AKIJIBU SWALI BUNGENI
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, akijibu swali bungeni Jijini Dodoma Mei 7, 2026 wakati wa kikao cha 24,…
MKOA WA RUVUMA KUZALISHA TANI 29,000 ZA KAHAWA MSIMU 2026/2027
Na Mwandishi Wetu,Mbinga MKOA wa Ruvuma kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, umejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kutoka tani 26,088.05 za msimu 2025/2026…
SERIKALI KUKAMILISHA SHERIA ZA UPANDIKIZAJI VIUNGO
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mfumo wa sheria na sera maalum zitakazosimamia huduma za…
WIZARA YA ELIMU KUWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA 2026/27
Bungeni, Dodoma…! Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo tarehe 7 Mei 2026 atawasilisha makadirio…
MHA.MRAMBA: AFRIKA INAHITAJI USHIRIKIANO WA KIMKAKATI KUNUFAIKA NA RASILIMALI ZAKE
📌Ashiriki Kongamano la Sekta ya Madini na Nishati nchini Msumbiji* Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba,…
DKT. JINGU APOKELEWA RASMI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, AAHIDI USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. John Jingu, amepokelewa rasmi na Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Dkt. Juma Homera kufuatia uhamisho…
PSG YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Klabu ya PSG ya Ufaransa imetinga fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuingoa Bayern Munic kwa jumla ya mabao 6-5. PSG itamenyana na…
MOIL ENERGIES YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUDHIBITI MAKALI YA BEI YA MAFUTA NA KUTOA RUZUKU YA DIZELI
Meneja Mwekezaji wa Bohari ya Mafuta ya MOIL Energies Dkt Sajad Habib Rai, amesema Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua kuhakikisha mafuta yanaendelea kupatikana…
PROF. SHEMDOE AKEMEA UBAGUZI WA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM WAKATI WA MITIHANI
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA TRILIONI 1.12 KWA WIZARA YA MAJI 2026/27
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Maji ya Sh trilioni 1.12…
RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI ZA MADINI IKULU, CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kwenye picha na Ujumbe…
CHAMA AIZAMISHA JKT TANZANIA
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa leo, Mei 6, 2026, kwenye…
PICHA : MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akifurahia jambo na mwanafunzi wa darasa la 6 Jenipher Mwita Chaha, wa Chemchemi Nursery and Primary School iliyopo Nkuhungu…
YANGA YAMTIMUA KOCHA PEDRO GONÇALVES
Dakika chache baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, uongozi wa timu hiyo leo Jumatano, Mei 6, 2026 umetangaza kumfuta…
SERIKALI YASUKUMA MAGEUZI YA UTUMISHI WA UMMA, YATAKA MATUMIZI MAKUBWA YA TEKNOLOJIA
Serikali imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha utumishi wa umma kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia, uwajibikaji na ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa…
WEZI WAWILI WA NG’OMBE JELA SIMANJIRO
Na Mwandishi wetu, Simanjiro WEZI wawili wamehukumiwa na mahakama ya mwanzo Shambarai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja kwa…
WADAU JIJINI DAR ES SALAAM WASHIRIKI MAPITIO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KUENDANA NA DIRA 2050
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi Emma Komba, akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha kufanya mapitio…
SERIKALI YAAHIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYABIASHARA WADOGO
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo…
OKELLO AIPA YANGA USHINDI DHIDI YA KMC
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wameibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa…
WASIOJULIKANA WAVAMIA ENEO VIKAWE, WAWILI WAFARIKI, 14 WAJERUHIWA
Mwamvua Mwinyi, Pwani Mei 6, 2026 WATU wawili wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia mgogoro wa ardhi uliotokea katika eneo la Vikawe (Lupaso),…