Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

DCEA KANDA YA KASKAZINI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI JIJINI ARUSHA

Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu kinga dhidi ya tatizo la dawa za kulevya katika _"Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahala Pa Kazi"_ yalianza rasmi katika Viwanja vya General Tyre vilivyopo Njiro jijini Arusha.  Maadhimisho hayo yameanza rasmi leo tarehe 23.04.2024 yatamalizika tarehe 30.04.2024. Mgeni

John Bukuku By John Bukuku

STANBIC BANK NA RAMANI, KUWAPA MIKOPO WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI

  Mkurugenzi wa biashara wa Benki ya Stanbic Frederick Max na Afisa Mkuu Mtendaji wa Ramani (Mkurugenzi Mtendaji), Lain Usiri, wakipeana mikono   Mara baada ya kusaini Makubaliano jijini Dar es salaam.                             ********  BENKI ya stanbic imeingia Makubaliano na Kampuni ya ramani kwa lengo la kuwafikia Wafanyabiashara

John Bukuku By John Bukuku

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge zilizojitokeza wakati wa michango mara baada ya kuwasilisha bajeti yam waka wa fedha 2024/25 jijini Dodoma leo Aprili 23, 2024. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akichangia mara baada ya wabunge kuchangia

John Bukuku By John Bukuku

EMPOWERING FEMALE ENTREPRENEURS AND BUSINESS OWNERS: CFAO MOBILITY TANZANIA AND STANBIC BIASHARA INCUBATOR UNITE ON INTERNATIONAL WOMEN’S DAY

  In celebration of International Women's Day, CFAO Mobility Tanzania and Stanbic Biashara Incubator collaboratively hosted an impactful event aimed at empowering female entrepreneurs and business owners. The event hosted at Stanbic Biashara Incubator offices in Dar es Salaam witnessed a gathering of accomplished women from diverse sectors who generously shared their success stories and provided invaluable mentorship to enthusiastic

Alex Sonna By Alex Sonna

NCAA YASEMA HAKUNA MWANANCHI ATAKAYEPATA NYUMBA KINYUME NA UTARATIBU

NA Mwandishi wetu, Karatu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba ipo makini kuhakikisha kuwa kila kaya inayojiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya hifadhi inapata nyumba katika Kijiji cha Msomera kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na kwamba hakuna mtu atakayeweza kupata nyumba kwa njia za udanganyifu. Akizungumza katika kipindi maalum kilichorushwa na Redio Lumen ya mjini Karatu Mkoani Arusha Kaimu

John Bukuku By John Bukuku

RC CHALAMILA ASEMA DAR IKO SALAMA

*Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo RC Chalamila amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo daraja la kibada ambapo TANROAD wanaendelea na matengenezo ya daraja hilo ili kurejesha

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI AWESO AWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO WATUMISHI WA SEKTA YA MAJI

Waziri Wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na kuwataka wahakikishe wanafanya kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuleta mafanikio. Amesema Sekta ya Maji imepiga hatua kubwa kutokana na ushirikiano ambao umejengwa na kukuzwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Saluhu Hassan, ambaye amekuwa mstari wa mbele katikq kuhakikisha

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara