Wafanyabiashara wakiwa ukumbini kwenye kikao .......... Na Hellen Mtereko, Mwanza Baadhi ya wafanyabishara Mkoani Mwanza wametoa maoni juu ya ukusanyaji bora wa kodi nchini ili waweze kufanya shuguli zao vizuri. Maoni hayo wameyatoa leo Jumatatu tarehe 13 januari, 2025 kwenye Kikao cha wadau cha Kukusanya, kupendekeza na kuwasilisha changamoto za masuala ya kodi nchini kilicholenga kuboresha namna bora ya pamoja…
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Komredi Kheri James, amepongeza juhudi za uongozi, watumishi, na wananchi wa Manispaa ya Iringa kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.3 inayotekelezwa katika Manispaa hiyo. Pongezi hizo zilitolewa leo wakati wa ziara ya kikazi ya Mkuu huyo wa Wilaya alipotembelea Kata sita za Kitwiru, Ruaha, Isakalilo, Kwakilosa, Mwangata, na…
Katika hatua mpya ya kuimarisha sekta ya sanaa na utamaduni nchini, makubaliano ya kihistoria yamesainiwa kati ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Msimamizi wa Haki Miliki Tanzania (COSOTA), yakilenga kuhakikisha muziki wa wasanii wa Kitanzania unapata nafasi ya kipekee. Makubaliano haya yanatoa fursa kwa asilimia 80 ya muziki unaopigwa katika viwanja vya ndege nchini kuwa wa Kitanzania,…
Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mhe. Mohamed Mtulyakwaku amewataka wananchi waliofikiwa na miradi ya umeme vijijini kuhakikisha wanaunganisha nyumba zao na umeme kwa ajili ya kujiletea maendeleo. Mhe. Mtulyakwaku ametoa rai hiyo wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mabama, wilayani Uyui Mkoa wa kwa lengo la kutoa elimu kwa umma na kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme. “Serikali ya Awamu…
Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi kutokana na mashairi yaliyoandikwa katika wimbo huo. Rehema Simfukwe tangu alipotoa wimbo huo miaka minne iliyopita hakuwahi kutoa sababu za kutunga na kuimba wimbo…
*Zambia* Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge wa Geita Mjini anayemwakilisha Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Constantine Kanyasu wako nchini Zambia katika ziara ya mafunzo kuhusu Uongezaji Thamani Madini. Mhe. Kanyasu ameambatana na wajumbe wengine watatu wa Kamati hiyo akiwemo Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mhe. Aleksia Kamguna na Mhe. Janeth Mahawanga…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi.…
Confirmed
0
Death
0
NA MWANDISHI WETU, PEMBA MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililopo Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba,…
Sign in to your account