fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAVUNDE AFUNGUA NJIA MPYA KULINDA TANZANITE, AITAKA KAMPUNI YA FRANONE MINING KUONGEZA UBUNIFU WA TEKNOLOJIA
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde akizungumza leo Agosti 24, 2026 kwenye ziara ya kikazi mkoani Manyara ……….. Na Happy Lazaro, Arusha. Waziri wa Madini,…
MCHENGERWA ATOA AGIZO AMBULANCE ISITUMIKE KWA SAFARI BINAFSI KIBAHA VIJIJINI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuhakikisha inatumia ipasavyo gari la wagonjwa (ambulance) lililokabidhiwa na…
MKATABA WA UJENZI WA MELI TATU ZA UVUVI WA BAHARI KUU WASAINIWA
Na. Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Serikali kupitia Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) imesaini mkataba wa ujenzi wa meli tatu za uvuvi wa…
SILLO AZINDUA PROGRAM MBILI ZA SHAHADA CHUO CHA UHASIBU BABATI.
Na John Walter -Babati Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo, amezindua programu…
KADONYA: BONDE LA ZIWA VICTORIA NI NGUZO MUHIMU YA UCHUMI NA MTANGAMANO WA AFRIKA MASHARIKI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Bw. Charles Ngeleja Kadonya, amesema Bonde…
BALOZI ZENA AFANYA KIKAO NA MAWAKALA BINAFSI WA AJIRA ZA NJE YA NCHI
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mhe. Mha. Zena Ahmed Said amefanya kikao na wadau wa sekta ya ajira ili kuongeza fursa za ajira,…
YANGA SC YAVUNA POINTI TATU DHIDI YA JKT TANZANIA
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kuvuna pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi…
SERIKALI KUPITIA MFUMO WA BIASHARA NA UCHIMBAJI WA MADINI YA TANZANITE
Mirerani, Manyara. Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanza kuchukua hatua za kuboresha mfumo wa biashara na uchimbaji wa madini ya Tanzanite nchini, kwa kufikia…
TANZANIA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UHARIBIFU WA ARDHI, UKAME UNCCD COP17
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki Mkutano wa Kumi na Saba wa Nchi…