Kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokea Tarime, mkoani Mara, Mohania Joseph Peter, amekianga chama hicho, akisema ni cha kiharakati na hakiwezi kufanya siasa. Ndugu Mohania, ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ngazi ya mkoa, katika Baraza la Vijana wa Chama hicho (Bavicha), kabla ya kuwa msaidizi katika ofisi ya chama hicho Mkoa wa Mara,…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataka wasomi nchini kutokuwa na Upande katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kupata nafasi ya kuieleza jamii ukweli bila kuwa na Unazi. Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Aprili 25,2025 jijini Dodoma wakati akihitimisha maadhimisho ya Kilele cha Siku ya sheria 2025 ya shule kuu ya Sheria…
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Peter Msofe, akitembelea mabanda ya wabunifu wakati wa maonesho ya Wiki ya Ubunifu ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), yaliyofanyika leo Aprili 25, 2025, katika ukumbi wa chuo hicho jijini Dar es Salaam (PICHA NA NOEL RUKANUGA) Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuulinda na kuudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa nguvu zao zote, akisisitiza kuwa ni tunu ya kipekee inayopaswa kuenziwa kwa vitendo, umoja na mshikamano wa kitaifa. Akihutubia taifa kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano, Rais Samia amesema mwaka huu wa maadhimisho unaangukia katika…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Methusela Ntonda akisikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Eliafile Solla alipotembelea banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye ufunguzi wa maonesho ya Kazi za Utamaduni na Sanaa. :::::::::: Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imepongezwa kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo ya elimu kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa…
Na Mwandishi wetu - Singida Timu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inayocheza Mpira wa Kikapu ya wanawake imeichezesha kwata timu ya mpira wa Kikapu ya Ikulu baada ya kuichapa bila huruma seti 73 kwa 42 katika mchezo mkali uliopigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Mwaja nje kidogo ya mji wa Singida. Michezo ulianza kwa timu…
*Aelekeza Leseni mpya kwa masonara kuanza rasmi Julai 2025 *Asisitiza uongezaji thamani madini ya vito nchini *Serikali yaja na mfumo mzuri wa kuwawezesha Wafanyabiashara madini kimtaji *Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameielekeza Tume ya Madini kupitia upya mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, ili kuja na pendekezo bora zaidi la namna…
Confirmed
0
Death
0
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa Mkutano wa Magavana wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) katika Nchi za Afrika Kundi la Kwanza (Africa…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Fedha ya Kimataifa ya Benki ya Dunia (IFC), Bw. John…
Sign in to your account