Top Stories
View all
Sanlam yakabidhi madarasa na ofisi za walimu Kondoa
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bima Sanlam kanda ya Afrika Mashariki, Julius Magabe…
Milioni 150 zagharamia Mkutamo Mkuu wa ALAT kwa Miaka mitano Mwanza
Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati – filbert Mponzi (Kushoto) akikabidhi mfano wa Hundi kwa Mwenyekiti wa ALAT Taifa – Mh Gulamhafeez…
BANDARI YA KISASA KUFUNGUA LANGO LA BIASHARA KATAVI
Sehemu ya eneo itakapojengwa Bandari ya Kisasa ya Karema wilayani Tanganyika Baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa Katavi na watumishi wa serikali wakiwa…
WAZIRI LUGOLA AIPONGEZA JKT UJENZI NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA, JIJINI DA ES SALAAM, ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA KASI YA UMEME
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiwafafanulia jambo, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) na Kamanda wa…
Ripoti nyeti Stiegler’s yazinduliwa, Yapangua hoja potofu za UNESCO, WWF kuhusu uamuzi wa Rais Dk. Magufuli
Kiongozi wa timu hiyo ya wataalamu wa utafiti , Bw. Saleh Pamba. Eneo la Bonde la Mto Rifiji ambako mradi huo unatekelezwa. …………………………………………………… TIMU…
WAZIRI LUGOLA, ZUNGU WAFANYA OPERESHENI KUWASAKA MATEJA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM, RPC ILALA APEWA AGIZO ZITO
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azan Zungu (kulia), wakiwasaka watumia dawa…
NEC KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JULAI 31, MKOANI SIMIYU
Baadhi ya viongozi wa dini, , viongozi wa asasi zisizosa Kiserikali na wawakilishi wa vijna , wanawake na watu wenye ulemavu wakifuatilia hotuba ya…
WAZIRI MKUU ALIPONGEZA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD
Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Barnabas Mtokambali, akizungumza na wananchi na waumini wa dini, kwenye maadhimisho ya miaka 80…
Mhandisi Mtigumwe amefanya ziara katika Mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga-ERPP)
************** Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Morogoro KATIBU mkuu wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe amefanya ziara katika Mradi wa kuongeza tija na uzalishaji…
MADEREVA BODABODA MPANDA WAPINGA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI
Baadhi ya madereva bodaboda wa Manispaa ya Mpanda wakiwa katika Mkutano na Waandishi wa Habari Emmanuel Minazi Mwenyekiti wa waendesha Bodaboda Mpanda Baadhi ya…
WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA- KOROGWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na viongozi pamoja na watumishi wa Wilaya ya Mwanga, katika ukumbi wa Green Bird, wilayani hapo, Julai 20.2019. (Picha…
MHANDISI MTIGUMWE AKERWA NA KUSUASUA KWA MRADI YA ERPP HUSUSANI KATIKA UJENZI WA MAGHALA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Morogoro KATIBU mkuu wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe amefanya ziara katika Mradi wa kuongeza tija na uzalishaji…
WATENGENEZA BARABARA WASIMAMISHA MSAFARA WA KIONGOZI
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Pereira Silima akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda mara baada ya kuwasili wilayani…
Shilingi milioni 700 kujenga Madarasa 100 Mwanza, Morogoro na Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara akizindua mojawapo kati ya madarasa manne ya elimu…
WAZIRI NDALICHAKO ATAKA USIMAMIZI THABITI UDAHILI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza wakati alipofunga maonesho ya vyuo vikuu yaliyokuwa yakifanyika kwa siku tano katika viwanja vya…
PROFESA NDALICHAKO AGOMEA UJENZI WA MAJENGO YA WADHIBITI UBORA KIGOMA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akikagua ujenzi wa ofisi za Wadhibiti Ubora wa Shule zinazojengwa katika Wilaya Kigoma ambapo hakuridhishwa…
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA UZALISHAJI WA MAZAO YA CHAKULA KWA MSIMU WA 2018/2019 NA UPATIKANAJI WAKE KWA MWAKA 2019/2020
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu taarifa ya hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula kwa msimu…
Mahujaji Watarajiwa Zanzibar Wapatiwa Mafunzo ya kutekeleza Ibada Hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Ayoub Mohammed Mahmoud akifunguwa Semina ya Mahujaji na Maimamu wa Misikiti katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.…
WAZIRI MKUU APOKEA TRENI YA MIZIGO NA KUZINDUA SAFARI ZA TRENI ZA MIZIGO KATIKA RELI YA KASKAZINI
Wananchi wa Moshi, wakipokea treni ya mizigo kwa furaha kubwa, wakati ikiwasili tokea Tanga, Julai 20.2019. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea treni ya mizigo,…
NAIBU WAZIRI AWATOA HOFU WAKULIMA WA PAMBA MWANZA
Naibu Waziri wa Kilimo,akizungumza na wakulima wa pamba juzi wilayani Kwimba.Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Salum Kalli na kushoto ni Mbunge…
NITAMTUMA WAZIRI MHAGAMA AJE MAKANYA – WAZIRI MKUU
*Ni katika mashamba ya mkonge, apokea kilio cha wafanyakazi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atamtuma Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia…
MAMENEJA UNGANISHENI WATEJA KWA SH 27,000 VIJIJI
Moja ya nyumba zilizowashwa umeme na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu katika kijiji cha Mkindo Wilayani Kaliua mkoani Tabora. Naibu Waziri wa Nishati,…
KUNAMBI ATUNUKIWA CHETI NA SHIRIKA LA MACHINGA NCHINI
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi akizungumza na viongozi wa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania walipomtembelea Ofisini kwake ambapo pia walimpatia cheti…
NAIBU WAZIRI KANYASU AAGIZA TANAPA KUONDOA SINGLE ENTRY MAENEO YANAYOLALAMIKIWA KUDUMAA KIUTALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza na Waoneshaji kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Utalii wa Utamaduni ya Serengeti yanayofanyika wilayani Serengeti…
WAZIRI MKUU AAGIZA SAME SEKONDARI IPEWE GARI
*DED aahidi kuliwasilisha kesho kutwa jioni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bi. Anna-Clare Shija apeleke gari…
BASHIRU AWATAKA MACHINGA KUWA NA MSHIKAMANO
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt.BASHIRU ALLI amelitaka Shirikisho la Umoja wa wamachinga nchini Taifa (SHIUMA)kuzingatia mshikamano miongoni mwao ili kukabili…
Waziri Mkuu Atembelea Shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika jani la katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro…
ALGERIA MABINGWA WA AFCON 2019,WAICHAPA 1-0 SENEGAL NA KUBEBA TAJI
BAO la dakika ya kwanza la Baghdad Bounedjah limetosha kuipa Algeria Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya…
WANANCHI SINGIDA WAMBEBA MBUNGE WASUKUMA GARI LAKE
Wananchi wa Kitongoji cha Kaugeri Kata ya Mwaru katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida wakimlaki Mbunge wao Elibariki Kingu baada ya kuwasili…
MAHAKAMA YAPENDEKEZA MAKOSA YOTE KUWA NA DHAMANA
Na Lydia Churi-Mahakama Mahakama ya Tanzania inapendekeza makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa hatua hii itasaidia kuondoa msongamano wa Mahabusu kwenye Magereza mbalimbali…
DKT. NDUGULILE ANENA MAKUBWA KATA YA KISARAWE II
Mbunge wa jimbo la Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile ameendelea na ziara yake mtaa kwa mtaa katika kata ya Kisarawe II kwa kutembelea mitaa ya Madege,…