Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

NEC YATOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA SIKU YA KESHO KUBORESHA TAARIFA ZAO

Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile akielekeza jambo kwa BVR Kit Operator  Viola Ginithone Swai na D avid Enock katikati namna ya kukwepa mwanga wa jua kwa vifaa vinavyotumika katika zoezi hilo wakati alipotembelea kituo cha Mtaa wa Kalingonji  kata ya Ng'ambo. Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga

John Bukuku By John Bukuku

AFISA ELIMU MKOA WA ARUSHA AZUNGUMZIA MATOKEO YA DARASA LA SABA MKOANI HAPA

Afisa elimu sekondari ,Abel Ntupwa akizungumzia matokeo ya darasa la saba ofisini kwake mkoani Arusha. ........ Julieth Laizer, Arusha . Arusha.Afisa Elimu Mkoa wa Arusha Abel Ntupwa amesema kuwa mkoa wa Arusha umepokea matokeo ya wanafunzi takribani 54,357 waliokuwa wamesajiliwa ambapo wanafunzi waliofanya mitihani ni wanafunzi wapatao 53,341 sawa na asilimia 98%. Kutokana na sababu mbalimbali wapo wanafunzi wengine ambao

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA NA UHOLANZI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MSAADA WA KUENDELEZA BONDE LA MSIMBAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Balozi wa Serikali ya Ufalme ya Uholanzi, Mhe. Wieber De Boer, wakisaini mkataba wa msaada wa euro milioni 30, sawa na zaidi ya shilingi bilioni 82 za Tanzania, kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Undelezaji Bonde la Msimbazi, Jijini Dar es Salaam, iliofanyika katika Ofisi za Hazina Ndogo,

John Bukuku By John Bukuku

MSD KUKABIDHIWA ENEO LA UJENZI WA GHALA ARUSHA KABLA YA JANUARI 2024

Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella, ameuhakikishia uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kuwakabidhi eneo la ujenzi wa ghala la kuhifadhia Bidhaa za Dawa kwa mkoa huo kabla ya mwezi Januari 2024 ili kurahisisha usambazaji wa dawa mkoani humo. Mongella amesema hayo katika kikao kazi cha Bohari ya Dawa (MSD) na wateja wake kanda ya Kilimanjaro kilichofanyika mkoani Arusha

John Bukuku By John Bukuku

MWENYEKITI CCM RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

John Bukuku By John Bukuku

MAFUNZO YA MAADILI KWA VIONGOZI WA JESHI LA POLISI

NA SABIHA KHAMIS MAELEZO Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amewataka viongozi wa Jeshi la Polisi kuwajibika kwa kufuata maadili ili kujenga imani kwa wanaowatumikia. Akizungumza na viongozi Jeshi hilo wakati akifungua mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma huko Ziwani, amesema mafunzo hayo yatasaidia kuwajengea uwezo na uwelewa katika kutekeleza majukumu yao. Amesema lengo la

John Bukuku By John Bukuku

FCC YAZINDUA WIKI YA USHINDANI, YAKEMEA VITENDO VYA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA BIASHARA 

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) Bw. William Erio akizungumza leo Novemba 29, 2023 Jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari wakati akizindua wiki ya ushindani. ....... NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imezindua wiki ya ushindani ambapo watatumia fursa hiyo kutoa elimu kwa wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ikiwemo wafanyabiashara hasa

John Bukuku By John Bukuku

TABOA YAIPONGEZA SERIKALI KUPANDISHA NAULI

.................. CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimeipongeza Serikali kipitia  Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kuongeza viwango vya nauli huku kikipendekeza nauli hizo kuongezwa zaidi kwa madai ya gharama za uendeshaji kuwa juu. Akizungumza Dar es Salaam  ikiwa ni siku moja baada ya Latra kutangaza viwango hivyo vipya vya nauli, Msemaji wa Taboa Mustapha Mwalongo amesema

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Biashara