Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na watanzania kuomboleza kifo cha mmoja wa waasisi wa tasnia ya habari nchini, Bw. Charles Hilary, ambaye hadi mauti yanamkuta alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia ameonyesha kuguswa na msiba huo, akieleza kuwa amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 105 Mkoani Mbeya. Katika hafla hiyo Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekabidhiwa kutekeleza mradi huo na Wakala wa Nishati…
Naitwa Mage, hapo awali nilipendana na mwanaume anayeitwa Ezron, lakini hakunipenda pia maana alikuwa akichumbiana na mwanamke mwingine anayeitwa Vero ambaye alikuwa mrembo, mwenye mafanikio na kujiamini kuliko mimi. Nilijaribu kila kitu ili kumshawishi Ezron kuwa na mimi, nilimnunulia zawadi, nikampikia chakula na kumpa mapenzzi, nilijaribu hata kufanya urafiki na Vero, nikitumaini kwamba angeona jinsi ...... SOMA ZAIDI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda (katikati)akitizama magugumajo yaliyotolewa katika ziwa Victoria . Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda akizungumza na baadhi ya wakazi wa kigongo busisi pamoja na abiria waliokuwa wakisubili kuvuka juu ya uondoaji wa magugu maji katika ziwa Victoria Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda akizungumza mara baada ya kukagua zoezi la uondoaji wa …
*Zaidi ya Shilingi Bilioni 10.9 kutumika *Wananchi wasisitizwa kulinda miundombinu ya umeme Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Mei 10, 2025 amezindua rasmi mradi wa kusambaza umeme katika Vitongoji 105 katika Mkoa wa Mbeya. Akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kumkabidhi rasmi Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi leo tarehe 10 Mei, 2025 amefanya ziara katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ikiwepo mradi wa Ujenzi wa Jengo la kisasa la Makumbusho ya Jiolojia, Ujenzi wa Jengo la Makao makuu ya NCAA linalojengwa nje ya Hifadhi ya Ngorongoro katika Wilaya…
Leo, tarehe 10 Mei 2025, Mhe. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania - Msumbiji amekutana na Mhe. Sharif Ali Sharif, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji (Zanzibar) kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi (Zanzibar) na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya ushirikiano katika Sekta ya Uwekazaji kati ya Tanzania/Zanzibar na Msumbiji
Confirmed
0
Death
0
Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo wakati wa utiaji saini…
Sign in to your account