Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2026) lililofanyika katika Uwanja wa Mwehe, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

Tamasha hilo limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.