OKELLO AIPA YANGA USHINDI DHIDI YA KMC
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wameibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wameibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa…
Mwamvua Mwinyi, Pwani Mei 6, 2026 WATU wawili wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia mgogoro wa ardhi uliotokea katika eneo la Vikawe (Lupaso),…
Uongozi wa Taasisi ya LALJI FOUNDATION ukiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT) mkoani Kigoma mara baada…
NA DENIS MLOWE IRINGA KATIKA kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Fabian Ngajilo, alihoji serikali kuhusu…
NA MWANDISHI WETU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameagiza Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kuongeza…
Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika…
Na Oscar Assenga, LUSHOTO Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kwa kutoa zaidi ya shilingi bilioni 2.7 katika…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Askofu wa Pili wa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akitoa mada kuhusu magonjwa ya moyo kwa maafisa Utawala na Rasilimali watu…
6 May 2026, 12:26 pm Afisa wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji akionyesha namna ambavyo jeshi hilo hufanya kazi ya uokoaji. Picha na Kale…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Evaline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri…
Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam 6/5/2026 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeendelea kuimarisha huduma za matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya…
Serikali imesema inatarajia kutekeleza mradi wa kuimarisha utayari wa Zanzibar kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wenye thamani ya Dola za Kimarekani 500,000…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni, Dodoma Wizara ya Maji imesema katika mwaka wa fedha 2026/27 itaendelea kuweka mkazo kwenye utekelezaji wa miradi ya…
NA JACKLINE MINJA, Dodoma Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali inachukua hatua katika…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maji imeendelea kuimarisha huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama vijijini, ambapo…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imesema utekelezaji wa mradi mkubwa wa Bwawa la Kidunda unaolenga kutatua changamoto ya maji katika Jiji…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maji imeendelea na maandalizi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa Bwawa la Farkwa…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maji imeendelea kuimarisha huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama vijijini, ambapo hadi…
NA FAUZIA MUSSA Msajili wa Hazina Zanzibar, Waheed Muhammad Ibrahim Sanya, amefungua kikao cha wadau kilicholenga kukusanya maoni na mapendekezo kuhusu moduli iliyoboreshwa ya…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Askofu wa…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Wanu Hafidh Ameir kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewasilisha hati za Randama…
Kulikuwa na mshangao mkubwa katika soko la mjini Dodoma baada ya mwanamke mmoja kugundulika akijifanya mjamzito kwa kutumia mto ili kuwalaghai watu na kujipatia…
Kulikuwa na tukio la kushangaza sana katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kuiba simu dukani na ghafla…
Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa Jiji la Dar es Salaam imepanda toka shilingi 3,820 kwa lita mwezi Aprili hadi kufikia shilingi 4115…
Chuo Kikuu Mzumbe kupitia Shule yake ya Biashara kimeandaa tukio la Siku ya Mzumbe na Kambi ya Wajasiriamali, litakalofanyika kwa mara ya kumi mfululizo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast…
Na Meleka Kulwa -Fullshangwe Bungeni Dodoma Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amesema kuwa mataifa ya Afrika Mashariki yanapaswa kuendelea kufanya maboresho ya sera…
Dar es Salaam, Mei 5, 2026 Chama cha Wafanyakazi wa Wakusanya Mapato Tanzania (TAREWU) kimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Taasisi ya Usimamizi wa…
Na John Bukuku, Dar es Salaam Ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Rwanda umeendelea kuimarika kwa kasi katika kipindi cha mwaka 2021 hadi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MFANYABIASHARA wa vifaa vya umeme kutoka mkoa wa Njombe, Erick Sambala, ameomba msaada wa spika kupatiwa haki yake baada ya…
Maadhimisho ya siku ya Urithi wa Dunia Afrika yaliyofanyika katika Makumbusho ya Urithi Jiopaki mjini Karatu tarehe 5 Mei, 2026 yameyakutanisha wanafunzi wa shule…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…