Kulikuwa na tukio la kushangaza sana katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kuiba simu dukani na ghafla kupoteza uwezo wa kutembea. Tukio hilo lilivuta umati mkubwa wa watu waliokuwa wakishuhudia hali hiyo ya ajabu.
Kwa mujibu wa mashuhuda, mwanaume huyo aliingia dukani kama mteja wa kawaida na kuomba kuonyeshwa simu kadhaa. Wakati muuzaji alipokuwa akishughulika na mteja mwingine, alichukua simu moja na kujaribu kuondoka kimya kimya.
Hata hivyo, alipofika nje kidogo ya duka, alianza kutetemeka na ghafla akaanguka chini. Alijaribu kusimama lakini miguu yake ilionekana kukosa nguvu kabisa. Ndani ya muda mfupi, alianza kutambaa barabarani huku akilia na kuomba msaada….. SOMA ZAIDI
