Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Wanu Hafidh Ameir kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewasilisha hati za Randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.