Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, katika viwanja vya Gwaride Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Gwaride Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Mei, 2026.