SERIKALI YAANDAA MKAKATI WA KUONGEZA UZALISHAJI WA VIFARANGA BORA VYA SAMAKI
Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa vijana na wajasiriamali wanaofuga samaki ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha vifaranga bora, hatua inayolenga kupunguza uhaba wa vifaranga hivyo…