Top Stories
View all
SERIKALI: WATANZANIA 168,657 WAFAIDIKA NA PROGRAM YA KUKUZA UJUZI
Na. OWM-KAM, Dodoma Serikali inaratibu Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi, kwa lengo la kukuza ujuzi wa nguvukazi ya taifa ili kumudu ushindani katika…
NISHATI SAFI YAFUNGUA MILANGO YA FURSA KWA WATENGENEZA MAUDHUI
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Watengeneza maudhui nchini wamehamasishwa kutumia ubunifu wao kujipatia kipato kupitia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia, kwa kuelimisha jamii…
WAKAZI WA BIJARAKULO KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA DOLA MIL.55.1 KUTOKA HUNGARY
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, akisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 55.1 kwa…
BENKI YA ELIMU YAINGIA UBIA WA KIMKAKATI NA THE VOICE TZ KWA LENGO LA KUKUZA MALIPO KIDIJITALI NCHINI TANZANIA
Dar es Salaam, Tanzania –Aprili 1, 2026: Kadiri Watanzania wanavyozidi kuhitaji njia za malipo kidijitali za haraka, salama na rahisi, Benki ya Exim Tanzania…
JESHI LA POLISI IRINGA LAWAKAMATA VIONGOZI WA GENGE LA UTAPELI WA AJIRA HEWA
NA DENIS MLOWE, IRINGA JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limeendelea na operesheni za kuzuia uhalifu kwa lengo la kuhakikisha usalama wa raia na…
VIJANA WASISITIZWA KUTUMIA TAKA KAMA FURSA
Afisa Afya Maingira,Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira Temeke Joseph Mpelumbe akizungumza katika warsha maalum ya Vijana iliyoratibiwa na Taasisi ya Mazingira…
VODACOM TANZANIA YAWEKEZA ILI KUIMARISHA MUSTAKABALI WA M-PESA
Timu ya Vodacom Tanzania ikiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha mabadiliko ya huduma ya M-Pesa kwenda mfumo mpya wa kisasa wa fintech…
MHE. SHARIFF AOMBA DUA KABURINI KWA MAREHEMU DARWESHI NA SEIF BAKARI OMAR KIEMBESAMAKI
Na Maelezo Zanzibar 02.04.2026 Waziri wa Kazi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff amesema waasisi wamefanya mapinduzi makubwa katika nchi ya kuwaletea wananchi maendeleo,…
SAMIA AING’ARISHA PWANI KWA MAGEUZI YA MAENDELEO
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Aprili 2, 2026 Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimesema kinatambua mchango wa Serikali katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo,…
MWANACHADEMA BRUCE NYAMWANGI ATOA UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZILIZOSAMBAA MTANDAONI
NA DENIS MLOWE IRINGA MWANACHAMA hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bruce Nyamwangi, amezungumza na waandishi wa habari mkoani Iringa kueleza ukweli…
TAARIFA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA POLISI
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na majukumu yake ya msingi kwa mujibu wa sheria na kutokana na ushirikiano wa wananchi na wadau…
MFANYABIASHARA WA MALINDI ALIYEKUWA NA MIKOSI YA WATEJA ASEMA SASA BIASHARA YAKE IMEJAA
Wateja walivyopotea bila sababu Ali Salim, mfanyabiashara wa bidhaa za urembo mjini Malindi, anasema kwa muda mrefu alikumbana na changamoto isiyoeleweka ambapo wateja wake…
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA MIFUMO YA ULINZI WA HAKI ZA MLAJI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za mlaji Duniani yaliyofanyika kwenye hoteli ya Johari Rutana…
DKT. GWAJIMA ATOA WITO KWA JAMII NA WAZAZI KUSHIRIKI MALEZI YA WATOTO KIKAMILIFU
Na Saidi Saidi WMJJWM – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii na…
TRA DODOMA YATOA MKONO WA UPENDO NA FARAJA KWA WENYE ULEMAVU WA MACHO KUELEKEA SIKUKUU YA PASAKA
DODOMA, 2 Aprili 2026 Kuelekea sikukuu ya Pasaka, Meneja wa TRA Mkoa wa Dodoma, Bw. Pendolake Elinisafi, ameongoza ziara ya kutembelea kaya za watu…
NILIHISI NINA GUNDU LILILONITENGA NA FURAHA
Naitwa Philipo, mkazi wa mkoa wa Rukwa, maeneo ya Sumbawanga. Mimi ni mwanaume ambaye nilikuwa na kila aina ya mali; mashamba makubwa ya mahindi…
WAZIRI MKUU ATOA ONYO HALMASHAURI KUTOCHUKUA VIUADUDU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 2, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba…
BAJETI ZA MASHIRIKA YA UMMA KUCHAMBULIWA KUAKISI DIRA 2050
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeanza zoezi la uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na…
FCC KUENDELEA KUTOA ELIMU YA HAKI ZA MLAJI
Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu haki za mlaji huku maadhimisho ya Siku ya Mlaji Duniani yakiendelea kufanyika, ili…
YAS YAJA NA PROMO YA PASAKA YASHUSHA BEI YA SIMU JANJA ZA ZTE
Imelda Edward – Meneja wa Vifaa – Mauzo na Usambazaji – Yas Tanzania ………. 01 Aprili 2026 – Dar es Salaam. Katika jitihada za…
EAC YAWEZESHA VIJANA WABUNIFU
*Yapitisha maazimio 15 kuendeleza matumizi ya AI na kuhamasisha ubunifu_ Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kupitia Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ya Jumuiya hiyo…
DKT. MNYEPE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA 13 WA AMANI, ULINZI, USALAMA NA SERA ZA MAMBO YA NJE EAC
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 13 wa Pamoja wa…
WIZARA YA NISHATI KUWA MFANO WA MATUMIZI BORA YA NISHATI KATIKA MJI WA SERIKALI MTUMBA
Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) inatarajia kutekeleza Mradi wa Matumizi Bora ya Nishati katika Jengo…
MAWAKALA WA BIMA WATAKIWA KUZINGATIA UADILIFU,PAMOJA NA KUJENGA MAHUSIANO IMARA KWA WATEJA
Meneja wa Bima kanda ya kaskazini (TIRA) Dokta Emmanuel Lupilya akizungumza na mawakala wa bima jijini Arusha . Happy Lazaro,Arusha . MAWAKALA WA BIMA…
DKT. GWAJIMA ATOA WITO KWA JAMII NA WAZAZI KUSHIRIKI MALEZI YA WATOTO KIKAMILIFU
Na Saidi Saidi WMJJWM – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii na…
JIJI LA DODOMA LAJIPANGA KUNG’ARA KWA USAFI, BILIONI TATU ZATENGWA KWA AJILI YA MIUNDOMBINU YA TAKA
Na. Halmashauri ya Jiji la Dodoma, DODOMA Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeendelea kuonesha dhamira ya dhati ya kuboresha mazingira na afya za wakazi…
NCHIMBI AKISALIMIANA NA BABA MTAKATIFU BAADA YA IBADA YA HIJA VATICAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu…
JITIHADA ZA RAIS SAMIA ZA ZIDI KUINUA SEKTA YA UTALII
Na Sixmund J. Begashe, Dodoma Jitihada kubwa zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu…
TEEA YAOMBA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MADINI KUIMARISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
* Ni Taasisi inayojihusisha na Utunzanji na Maendeleo ya Mazingira . Mtumba, Dodoma Taasisi ya Wataalamu wa Mazingira Tanzania (TEEA) imeomba kushirikiana kwa karibu…
WATENGENEZA MAUDHUI MTANDAONI WATAKIWA KUTENGENEZA MAUDHUI YANAYOLINDA TASWIRA YA NCHI
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana iliyopo mkoani Mwanza, Mhe. Amina Makilagi amewataka Watengeneza Maudhui Mtandaoni kuzingatia maadili, uzalendo pamoja na kulinda taswira ya Tanzania…
DKT. MWIGULU: LIPENI FIDIA KABLA YA KUTWAA MAENEO YA WANANCHI
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameziagiza Wizara za Kisekta, Taasisi na Mamlaka za Serika za Mitaa zihakikishe zinalipa fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo kwa…
WAFANYAKAZI WA TUME YA TAIFA YA MIPANGO WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA WELEDI
Katibu Mkuu-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt Tausi M. Kida ametoa wito kwa watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi…
RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA NAFASI YA URAIS NA WAGOMBEA WENZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Wagombea wa Nafasi ya Urais na Wagombea Wenza…
WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA TRILIONI 12.5 KWA MWAKA 2026/2027
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya…