Top Stories
View all
NANENANE 2026: DKT. MWIGULU KUFUNGUA, DKT. SAMIA KUFUNGA MAONESHO YA KIMATAIFA DODOMA
Maandalizi ya Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nanenane 2026 yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8, 2026 katika Viwanja vya Dkt. John Samuel…
TANESCO KIGAMBONI YAHAMASISHA ULINZI MIUNDOMBINU YA UMEME
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni, Bi. Tumaini Mahwaya akizungumza na Wafanyakazi wa Hoteli ya Aya…
NMB WAKABIDHI MILIONI 10 KUSAIDIA KAMBI YA SIMBU
Na Prisca Libaga RS Arusha Benki ya NMB imekabidhi udhamini wa Sh10 milioni kwa mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu, ili kumsaidia katika maandalizi ya…
MWENYEKITI WAZAZI TAIFA AKOSHWA NA DED UKUSANYAJI MAPATO YA NDANI MANISPAA YA KIBAHA MJI
Na Victor Masangu, Kibaha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ndg Fadhili Maganya amempongeza Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa…
KATIBU MKUU CCM AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI KISIWANDUI, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi…
JAMII YAITWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI MAALUM.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya laiomba jamii kusaidia malezi na makuzi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kupata mahitaji…
POLISI YAHUDUMIA ZAIDI YA WAGONJWA 500 BURE – RUKWA
Wananchi zaidi ya 500 kutoka Kata za Chanji, Msua, Kantalamba na Kizwite zilizopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamenufaika na huduma mbalimbali za afya…
RAIS DKT. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA IKULU TUNGUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China…
RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na…
WATAALAM WA NDANI WAFANIKISHA UPANDIKIZAJI WA MASHINE ZA USIKIVU (Cochlear Implant) KWA MARA YA KWANZA
Na Abduly Madenge, WAF – Dar es Salaam Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili…
DAR, LINDI NA MTWARA HAZITAATHIRIWA NA UKAMILISHAJI MRADI WA CHALINZE–DODOMA
Na Mwandishi Wetu, Chalinze Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara haitakumbwa na changamoto ya kukatika kwa umeme wakati wa utekelezaji wa…
UKAMILISHAJI MRADI WA CHALINZE–DODOMA UTASABABISHA KUKATIKA UMEME KWA AWAMU MBILI
Na Mwandishi Wetu, Chalinze Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema utekelezaji wa hatua za mwisho za Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa msongo…
WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WAWAALIKA WANANCHI MAONESHO YA NANENANE 2026
Rc Makalla asema ni fursa muhimu ya wananchi kufanya biashara,kujifunza na kuzijua teknolojia mpya za kilimo na ufugaji Na Mwandishi Maalumu RS Arusha Mkuu…
SADC YAHIMIZA MAGEUZI YA VIWANDA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA UKANDA
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Elias Magosi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Tisa ya Viwanda ya SADC…
NMB YAONGEZA MASULUHISHO YA KISEKTA KWA WAFANYABIASHARA
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kulia), Mkuu wa Idara ya Biashara NMB, Deogratias Shirima (kushoto) wakifurahia…
UMEME JUA KISHAPU AWAMU YA PILI KUIONGEZEA TANZANIA MEGAWATI 100 ZA NISHATI JADIDIFU
*Waziri Ndejembi ashuhudia utiaji saini, asema ni alama ya miradi ya kielelezo nchini. *Mradi utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 100 *Aeleza mradi kugharimu…
MWENYEKITI WAZAZI TAIFA ATUA KIBAHA AWAHIMIZA VIONGOZI CCM KUVALIA NJUGA KERO YA MIGOGORO YA ARDHI
Na Victor Masangu, Kibaha Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya amewaasa viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) ngazi za Wilaya…
RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA JAJI MSTAAFU SAMBO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa George Masaju,…
WALIMU WATAKIWA KUANDAA WANAFUNZI KUJIAJIRI NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA
Farida Mangube Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Caroline Nombo, amesema walimu wana nafasi ya kipekee katika maendeleo ya…
DKT. MWINYI: ZANZIBAR KUJENGA MFUMO ENDELEVU WA HUDUMA ZA AFYA, AIPONGEZA USWISI KWA USHIRIKIANO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania na Burundi, Mhe.…
DKT. MWINYI: ZANZIBAR KUIMARISHA BIASHARA NA UWEKEZAJI NA KENYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Mhe.…
TFF, JAB KUIMARISHA WELEDI WA HABARI ZA MICHEZO
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika kukuza weledi, maadili na…
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAWASILISHA RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO KWA WADAU
* Naibu Katibu Mkuu afungua rasmi kikao kazi kwa wadau *Asema Sekta ya Utalii, Wanyanyamapori na Malikale ni kichocheo kikubwa cha uchumi wa Taifa…
NDEJEMBI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA SHILINGI BILIONI 204.7 WA MRADI WA UMEME WA JUA WA MEGAWATI 100 KISHAPU
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi (Mb.), leo Julai 27, 2026, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa utekelezaji wa awamu ya pili ya…
TANZANIA, CITIBANK KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB) (wa pili kushoto), akiwa katika mkutano wa kimkakati jijini London Uingereza na maafisa wakuu wa…
KILA UNYAYO ULIOHIFADHIWA NGORONGORO NI URITHI KWA DUNIA
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro Abdul-Razaq Badru ameuambia mkutano wa 48 wa kamati ya Urithi wa Dunia kuwa…
DC BAHI AKABIDHI GARI RUWASA, AMKARIBISHA MENEJA MPYA MKOA
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Thobias Nyingo amekabidhi gari jipya aina ya ‘Toyota Pickup’ kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi…
KISA CHA SHANGAZI AKA FATMA KARUME KUACHANA NA MARIA SARUNGI NA MIKUNDI YAO
Shangazi alikuwa mstari wa mbele wakati wa Hayati Dkt. John Magufuli kumkosoa Rais. Ilifika wakati Agosti 26, 2017, Paul Makonda alifanya operesheni katika ofisi…
TANZANIA YASISITIZA UNESCO KUHAMA KWA HIARI NGORONGORO NI KULINDA UTU NA HAKI ZA BINADAMU
Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza tarehe…
SERIKALI YAWAPA WANAFUNZI 1,050 UFADHILI WA SAMIA SCHOLARSHIP
Serikali imetangaza orodha ya wanafunzi 1,050 waliofanya vizuri zaidi katika Mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2026 watakaonufaika na mpango wa Samia Scholarship, ambapo…
RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU YA TUNGUU, ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Latifa Mohammed Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu…
MAVUNDE ATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI WANAOTOROSHA DHAHABU WAINGIZWE BLACKLIST
Dar es Salaam, Julai 27, 2026 – Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameagiza wafanyabiashara wote watakaobainika kujihusisha na utoroshaji wa madini kufutiwa leseni…
WAZIRI NDEJEMBI AWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni…
ZAIDI YA WATANZANIA 90 WANUFAIKA NA KAMPENI YA “IKIINGIA TU GOLI”
Mkuu wa Idara ya Makampuni na Washirika wa Mixx, Justine Lawena (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni moja kwa Bw.…