DIWANI KATA YA PANGANI APIGA JEKI MIFUKO YA SIMENTI MRADI UJENZI WA CHUO CHA MADRASA
Na Victor Masangu,Kibaha Diwani wa kata ya Pangani Mhe. John Katele ameahidi kuchangia mifuko 10 ya simenti kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa…
Na Victor Masangu,Kibaha Diwani wa kata ya Pangani Mhe. John Katele ameahidi kuchangia mifuko 10 ya simenti kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa…
Na WMJJWM Rome Italia Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuimarisha usawa wa kijinsia, amani na usalama kwa kushiriki katika Mkutano wa Nane wa…
Na Mwandishi Wetu, New York, Marekani Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza…
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Dkt. Bill Kiwia, amesema ushirikiano wa waajiri katika kuwasilisha taarifa za…
Kwa miezi 18 maisha yangu yalizunguka jambo moja tu kutafuta kazi. Kila asubuhi nilikuwa naamka mapema, kufungua simu au laptop yangu, na kutafuta matangazo…
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi biashara yangu ilikuwa karibu kuanguka kabisa. Nilikuwa nimeanzisha duka langu kwa juhudi nyingi sana. Nilijinyima mambo mengi…
TANGA – Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeomba kuendelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Ireland kupitia utekelezaji wa Awamu ya Pili…
Timu ya Taifa ya Korea Kusini imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa Kundi A uliochezwa nchini Mexico.…
Jamhuri ya Slovakia imeandika ukurasa mpya katika uhusiano wake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuzindua rasmi Ofisi ya Ubalozi wake jijini…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Slovakia zimethibitisha dhamira ya kuimarisha uhusiano ya kidiplomasia, ushirikiano wa kiuchumi, uwekezaji, pamoja na kubadilishana uzoefu…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje…
Ujenzi wa Mtambo wa Kisasa wa Kuchakata Maji Taka wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Utekelezaji wake umefika asilimia 70 ambapo mradi ukikamilika…
Timu ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi…
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kusaidia kurejeshwa kwa pikipiki…
Na, mwandishi wetu – Dodoma KATIKA kuendelea kuimarika kwa sekta ya usimamizi wa maafa nchini na kuongezeka kwa hamasa ya kujifunza mifumo ya usimamizi…
Dodoma, 10 Juni 2026 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI yatembelea ofisi za TMDA Makao Makuu Dodoma kwa lengo…
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akisalimiana na Mheshimiwa Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, mara baada ya kukabidhi hati za…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027, kupitia Televisheni…
Serikali imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10 kwa baadhi ya magari yanayotumia umeme katika hatua inayolenga kuhamasisha matumizi ya…
WAZIRI wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ili…
Meneja wa Moyo Tented Camps inayomilikiwa na kampuni ya Conservation Caravan Safaris, Mary Loishooki akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha …………….. Na Happy…
Na. Meleka Kulwa, Fullshangwe Blog,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imezindua mradi wa Kituo cha Kuchajia Vyombo vya…
Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza rasmi nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Stashahada ya Elimu ya Awali na…
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Badru Alburnoor (katikati) na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amewasilisha Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27 akisisitiza vipaumbele vitano…
Na Hassan Kimweri, WAF – Tabora Jumla ya macho 996 yamefanyiwa uchunguzi kwa wagonjwa 823 wanaotarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi…
Africa Global Logistics (AGL), kupitia kampuni dada ya EALS, imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Shule ya Sekondari Mabibo kwa kukabidhi madumu 12 ya kuhifadhia…
Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Wilbroad Mastai akizungumza na waandishi wa habari …
“Taka ni mali.” Hiyo si kauli mbiu tu kwa Trash to Treasure iliyopo Sumbawanga, mkoani Rukwa. Ni maisha, ni imani, na ni safari iliyoanza…
Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji amekabidhi kwa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA Tuzo ya Mafanikio katika Utoaji wa Huduma bora Mwaka…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha mbalimbali na wabunge, mawaziri pamoja na wageni waliofika Bungeni wakati wa shughuli za Bunge la 13,…
Kwa miaka mingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kubeba mtoto wangu mikononi mwangu. Nilipoolewa, niliamini kwamba baada ya muda mfupi ningekuwa mama. Nilikuwa na matumaini…
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo simu ikilia nilikuwa naogopa kuipokea. Sababu ilikuwa moja tu. Nilikuwa na deni kubwa ambalo nilikuwa nimeshindwa kulilipa kwa…
Leo hii, Trashto Treasure hukusanya taka za plastiki kutoka kwenye jamii na kuzibadilisha kuwa vifaa vya kujifunzia vinavyobadilisha maisha ya watoto. Lakini safari hiyo…
Na Happy Lazaro,Arusha Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia, ambapo…