Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo simu ikilia nilikuwa naogopa kuipokea.

Sababu ilikuwa moja tu. Nilikuwa na deni kubwa ambalo nilikuwa nimeshindwa kulilipa kwa muda mrefu. Kila mwezi nilijitahidi kutafuta fedha za kulipa sehemu ya deni hilo, lakini mahitaji mengine ya maisha yalifanya hali kuwa ngumu zaidi.

Mwanzoni niliamini ningemaliza kulipa haraka. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyopanga. Biashara yangu ilipata changamoto, mapato yakapungua, na madeni yakaendelea kuongezeka. Kadri muda ulivyopita, presha ilizidi kuwa kubwa. Kwa kweli nilikuwa naishi kwa wasiwasi….. SOMA ZAIDI