Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Curacao katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia.

Ujerumani ipo Kundi E, ambapo imefanikiwa kujikusanyia pointi tatu muhimu na kuongoza kundi hilo.