VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJI LA DODOMA WAPEWA MAFUNZO YA MAADILI KATIKA UONGOZI NA UMUHIMU WA MAWASILIANO KWA VIONGOZI
VIONGOZI wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma watakiwa kusimamia misingi ya maadili na mawasiliano ili kulinda imani ya wananchi katika huduma…