Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya wabunge wakati ya kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Juni 4, 2026.