Top Stories
View all
MIFUMO YA KIDIJITALI YAONGEZA UKUSANYAJI NA USIMAMIZI WA MAPATO YA SERIKALI
Na Bupe Mwaiseje- MAELEZO Serikali imeendelea kuimarisha usimamizi wa mapato na matumizi ya fedha za umma kupitia uwekezaji mkubwa katika mifumo ya kidijitali, hatua…
DKT. DUGANGE: SERIKALI KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA NEWALA VIJIJINI
Na Timothy – Mwakyenda – MAELEZO. Serikali imeahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara kwa kutenga fedha za…
MAKATIBU WAKUU WA EAC WAKUTANA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA SCTIFI
Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha…
MAGEUZI YA KODI YAWEKA MSINGI WA KUONGEZA MAPATO NA KUKUZA UWEKEZAJI
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeeleza kuwa inaendelea kutekeleza mageuzi mbalimbali ya kodi yanayolenga kuongeza mapato ya ndani, kupanua wigo wa walipakodi na…
UCHUMI WA TANZANIA WAENDELEA KUIMARIKA, UWEKEZAJI WAONGEZEKA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imesema uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kutokana na utekelezaji wa sera madhubuti za kiuchumi, uwekezaji katika miradi ya…
WAZIRI MKUU AFANIKISHA MARIDHIANO YA MGOGORO WA MIAKA 14 KATI YA MARTHA HILONGA NA KANISA KATOLIKI ARUSHA
Utaratibu wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa njia ya mazungumzo na maridhiano umewezesha kupatikana kwa suluhu…
SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA MIFUMO YA KIDIJITALI KATIKA USIMAMIZI WA FEDHA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika usimamizi wa fedha za umma na ukusanyaji wa mapato kwa…
VIPAUMBELE VYA WIZARA YA FEDHA 2026/27 VYALENGA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeweka mkazo katika utekelezaji wa vipaumbele mbalimbali vya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2026/27,…
WIKI YA UTAFITI, UBUNIFU NA HUDUMA KWA JAMII ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MKWAWA YAFUNGULIWA IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amefungua rasmi Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii inayofanyika kuanzia Juni…
UWT KIBAHA MJI YAWANOA VIKALI MAKATIBU WA KATA KUBORESHA UHAI WA JUMUIYA YAO
Na Victor Masangu, Kibaha Jumuiya ya Umoja wa wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha katika kuimarisha kasi ya Uhai wa jumuiya yao pamoja na kuongeza…
SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA
Na mwandishi wetu, Morogoro SERIKALI imeendelea kuimarisha mifumo ya uratibu, kujiandaa na kukabiliana na maafa ili kuhakikisha misaada ya kibinadamu inayotolewa inawafikia walengwa kwa…
KUNENGE AWAAAGIZA WAKURUGENZI KUWAWAJIBISHA WATENDAJI WANAOSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa tahadhari kwa wakurugenzi wa halmashauri mkoani humo kuacha kuwalea kwa kuwakumbatia…
WAFUNGWA MAISHA KWA KOSA LA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said…
DKT. MUYUNGI ATETA NA BALOZI WA NORWAY
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Bi. Tone…
RIDHIWANI AWATAKA MAAFISA TAWALA, RASILIMALI WATU KUIMARISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka Maafisa Tawala…
NMB YATUMIA TWENZETU KWA YESU KUENDELEZA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA
Dar es Salaam. Benki ya NMB imetumia uzinduzi wa Tamasha la Twenzetu kwa Yesu kuwafikia vijana kwa ujumbe wa maadili, nidhamu ya fedha na…
WASICHANA WA SHULE 11 MAFIA WANUFAIKA NA SETI 2,408 ZA PEDI KUTOKA TEEMO
Na Mwamvua Mwinyi, Mafia Jumla ya seti 2,408 za taulo mbadala za kike (Reusable Pads) zimetolewa kwa wanafunzi wa kike katika shule 11 za…
DKT. KIRUSWA AKUTANA NA BALOZI WA AUSTRALIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE
*Balozi ahimiza matumizi ya fursa za elimu, mafunzo na semina zinazotolewa na Australia kukuza Sekta ya Madini *Australia yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika…
WATUMISHI WANAOGHUSHI BARUA ZA UHAMISHO WAONYWA, SITA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma WATUMISHI wa umma wanaojihusisha na kughushi barua za uhamisho na nyaraka nyingine za kiutumishi wameonywa kuacha mara moja tabia…
WIZARA YA FEDHA YAOMBA SH. TRILIONI 21.3 KWA BAJETI YA 2026/27
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Dodoma 2 Juni, 2026: Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya…
SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA
Na mwandishi wetu, Morogoro SERIKALI imeendelea kuimarisha mifumo ya uratibu, kujiandaa na kukabiliana na maafa ili kuhakikisha misaada ya kibinadamu inayotolewa inawafikia walengwa kwa…
DEOGRATIUS CHAMI: MTANZANIA WA KWANZA MWENYE ULEMAVU KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA KITI MWENDO
Na Albano Midelo Wakati wengi walidhani ajali ilizika ndoto zake milele, Deogratius Chami ameandika historia mpya Tanzania kwa kuwa mtu wa kwanza mwenye ulemavu…
MASAUNI AELEKEZA NEMC, NCMC KUONGEZA BAJETI YA VIJANA WA KUJITOLEA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa…
MRADI WA RISE WAREJESHA FARAJA KWA WANANCHI KILOSA, BARABARA YA LUDEWA–LUMBIJI SASA YAPITIKA KWA UHAKIKA
Kilosa, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) chini ya mradi wa RISE kupitia programu ya uondoaji vikwazo katika barabara (bottleneck) umekamilisha…
BARABARA YA LAMI YA KILOMITA 1.6 KUINGIA HOSPITALI YA JIJI DODOMA KUCHOCHEA HUDUMA ZA AFYA NA MAENDELEO NALA
NALA – DODOMA HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetekeleza ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya Bahi…
DODOMA KUIMARISHA USALAMA KWA KUSIMIKA KAMERA ZA ULINZI ZA SHILINGI MILIONI 682
Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2026 umezindua mradi wa kusimika kamera za usalama wenye thamani ya shilingi 682,561,548.6,…
RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…
NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
*Aipongeza TANESCO kuendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa umeme. *Ahimiza TANESCO kuendelea kupanda miti kwa wingi kwenye vyanzo vya uzalishaji wa…
ATCL IKO MBIONI KURUDISHA SAFARI ZA DUBAI MWEZI HUU
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Air Tanzania Company Limited (ATCL) Mhandisi Peter Ulanga, amesema shirika hilo linajiandaa kurudi rasmi kwenye safari za…
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA ULINZI WA WATOTO NA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA
Na Oscra Tarimo WMJJWM- Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha juhudi za kulinda watoto na…
BALOZI WA TANZANIA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MKURUGENZI MKUU UNESCO
Paris, Ufaransa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika UNESCO, Mhe. Saidi Othman Yakubu, amewasilisha…
NILIVYOPATA MTEJA MKUBWA ALIYEINUA BIASHARA YANGU BAADA YA MWAKA MZIMA WA HASARA NA MADENI
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo kila siku nilifungua biashara yangu bila kujua kama ningepata faida au hasara. Nilikuwa nimewekeza fedha nyingi kwenye biashara…
NILIVYOMTAFUTA KAKA YANGU KWA MIAKA SABA NA HATIMAYE KUPATA TAARIFA ZILIZOBADILISSHA FAMILIA YETU MILELE
Miaka saba ni muda mrefu sana kumkosa mtu unayempenda. Lakini ndivyo ilivyokuwa kwetu baada ya kaka yangu kutoweka ghafla bila kuaga wala kuacha maelezo…
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, Essau Hossiana Ngoloka, pamoja na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe wakikabiliwa na…