KAMBARAGE, FATMA NA CHUMI WAAPA KUWA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu…
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu…
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetangaza vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa lengo la kujenga jamii…
Na. Meleka Kulwa, Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha uwezeshaji wa wafanyabiashara…
Wizara ya Maji ni miongoni mwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.…
Na Happy Lazaro, Arusha . Wananchi mkoani Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mikutano ya hadhara itakayofanyika wakati wa ziara ya Katibu wa Halmashauri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, atafanya Ziara ya Kitaifa katika Shirikisho la Urusi kuanzia tarehe 3…
Kwa miaka mingi nilikuwa naishi maisha ya kutafuta kazi kila siku bila mafanikio ya maana. Baada ya kumaliza masomo, nilikuwa na matumaini makubwa kwamba…
NA DENIS MLOWE, IRINGA WITO umetolewa kwa wajasiriamali nchini kutumia kikamilifu fursa mbalimbali zinazowekwa na Serikali ili kuongeza uzalishaji, kupanua masoko na kukuza biashara…
Yalenga Kuimarisha Ufanisi wa Chama Na Oscar Assenga, TANGA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wake wa…
Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya kumchagua…
Mei 31, 2026 saa 9:10 alasiri huko maeneo ya maji mazuri katika barabara ya Mbeya – Chunya, Gari yenye namba za usajili T134DFB aina…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (Mb) amekutana na Balozi wa Australia nchini Tanzania anayemaliza…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa usafiri wa ndege kwa ajili ya kuwachukua mashujaa wa Timu ya…
Serikali imeandaa mkakati maalum wa utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai ambao umeainisha shughuli mbalimbali zitakazotekelezwa kwa muda mfupi, wa kati na…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania, iliyofanyika…
Na OWM – TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof.…
Na Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umeendelea kuandika historia katika kuimarisha huduma za mawasiliano nchini kwa kutekeleza miradi mbalimbali…
Paris, Ufaransa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasili leo nchini Ufaransa kwa ziara…
Na Atley Kuni, WAF-Dar es Salaam Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kinywa na Meno Tanzania kutoka Mataifa mbalimbali duniani wameisifu Tanzania…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewataka Wakuu…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini…
…………… NA DENIS MLOWE, IRINGA MRATIBU wa Mradi wa Climate-Smart Dairy Transformation Project (C-SDTP), Razalo Kapera, amesema mradi huo unaendelea kuleta mageuzi makubwa katika…
NA DENIS MLOWE, IRINGA WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa wito kwa wadau wa sekta ya mifugo kuongeza juhudi…
Kwa miaka mingi nilikuwa naishi maisha ya kutafuta kazi kila siku bila mafanikio ya maana. Baada ya kumaliza masomo, nilikuwa na matumaini makubwa kwamba…
Na John Bukuku, Dar es Salaam Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikishuhudia ukuaji wa uchumi unaoonekana kwenye takwimu za kitaifa, ongezeko la miundombinu, huduma…
Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bank Plc, Ruth Zaipuna, akitoa hotuba kuu katika Cambridge Africa Business Conference 2026 katika Chuo Kikuu…
Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally Chirukile alipomwakilisha mkuu wa mkoa wa Rukwa Charles Makongoro Nyerere nchini (DRC) ……….. Kinshasa, DRC…
Na Atley Kuni, WAF-Dar es Salaam Serikali imeahidi kuendelea kuimarisha huduma za afya ya kinywa na meno nchini kupitia uwekezaji wa miundombinu, mafunzo ya…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika…
Mpwapwa, Mei 31, 2026 Mkoa wa Dodoma umepokea Mwenge wa Uhuru 2026 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mtera iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya…
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba , amesema Wakili Marathon iliyoandaliwa na Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) itakuwa chachu ya…
Na Hassan Kimweri, WAF – Kagera Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amewataka watumishi wa afya nchini kuwa makini zaidi katika kipindi hiki…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa kwa mtumishi mwingine wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kulinda na kutetea…
NA DENIS MLOWE , MIGOLI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha rasmi kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa…