Top Stories
View all
TANZANIA, RWANDA ZASAINI MAKUBALIANO USHIRIKIANO WA NISHATI MBELE YA MARAIS SAMIA NA KAGAME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame leo Mei 19,…
KAMPENI YA “JUA NAMBA ZAKO” YAGUSA WATUMISHI WA REA DODOMA
Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam 20/5/2026 Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara…
MKUU WA MKOA KHERI JAMES ATANGAZA MAADHIMISHO YA KITAALUMA YANAYOANDALIWA NA CHUO KIKUU CHA MKWAWA
NA DENIS MLOWE IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa maadhimisho maalumu ya kitaaluma yatafanyika kuanzia…
TANZANIA YAUNGA MKONO AZIMIO LA NAIROBI KUHUSU MAKAZI NA MAENDELEO ENDELEVU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo (Kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala…
HERI YA SIKU YA KUZALIWA HELLEN MTEREKO
Fullshangwe Blog inakutakia Heri ya Siku yako ya mfanano wa kuzaliwa kwako, Hellen Mtereko mwakilishi WA Fullshangwe Blog Mkoa wa Mwanza.
WIZARA YA UJENZI YAOMBA BAJETI YA SHILINGI TRILIONI 2.564 MWAKA WA FEDHA 2026/2027
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumatano tarehe…
WIZARA YA UJENZI YAAHIDI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA KWENYE MAJIJI KUPITIA MIRADI MIKUBWA 2026/27
Wizara ya Ujenzi imetangaza mpango wa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ya barabara na madaraja katika mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa ni sehemu…
WAZIRI ULEGA AMUHAKIKISHIA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KWA WELEDI NA UADILIFU
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega amesema ataendelea kutekeleza majukumu yake kwa weledi na uadilifu ili kuhakikisha malengo ya Serikali yanafikiwa kupitia mipango na…
BIBI WA MIAKA 70 AMPONGEZA RAIS SAMIA, AKITOA USHUHUDA WA DARAJA LA JP MAGUFULI
Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.…
SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAJENGA ZAIDI YA KILOMETA 1,495 ZA BARABARA ZA LAMI KWA MIAKA MITANO
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami…
TANROADS YAJENGA KM 243 ZA BARABARA ZA LAMI NDANI YA MIEZI 10
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendelea kuimarisha sekta ya miundombinu nchini kwa kufanikisha ujenzi wa barabara…
TMA YATOA TAHADHARI YA UPEPO MKALI PWANI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuchukua tahadhari kufuatia matarajio ya upepo mkali wenye kasi ya hadi kilomita 40 kwa saa…
KUNENGE: USHIRIKA PWANI WAENDELEA KUNG’ARA KITAIFA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amepongeza jitihada zinazofanywa na sekta ya ushirika kwa kuhakikisha Mkoa unaendelea kuwa kinara…
ULEGA AWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2026/2027
BUNGENI : Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo leo Mei 20, 2026 anatarajia kuwasilisha Makadirio ya…
SERIKALI YAJIANDAA KUPANUA MIJI YA PEMBEZONI – PROF. SHEMDOE
Na OWM – TAMISEMI, Azerbaijan Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…
NJOMBE YAIBUKA KITOVU CHA MADINI ADIMU, SOKO LAKE KUU LIPO CHINA
📍Njombe Serikali imetangaza kuwa Mkoa wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uwekezaji wa madini nchini baada ya kugunduliwa kwa madini adimu ya Rare…
BANDA LA TANZANIA LAVUTIA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA AFRIKA UNESCO PARIS
Paris, Ufaransa Banda la Tanzania limekuwa moja ya vivutio vikubwa katika ufunguzi rasmi wa Wiki ya Afrika unaofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO jijini…
NILIVYOREJESHA FURAHA NYUMBANI BAADA YA MTOTO WANGU KUANZA KULIA USIKU KILA SIKU BILA KUELEWA TATIZO
Maisha yetu yalikuwa ya kawaida na yenye furaha. Mtoto wangu alikuwa mchangamfu, anacheza vizuri mchana, anakula kawaida, na kila kitu kilionekana kwenda sawa. Lakini…
NILIVYOGUNDUA SIRI YA ALIYEKUWA ANANIHARIBIA JINA KIMYA KIMYA BAADA YA MARAFIKI KUANZA KUNIKWEPA BILA SABABU
Kwa muda mrefu nilikuwa mtu ambaye nilipendwa na watu wengi. Nilikuwa na marafiki wa karibu, mahusiano mazuri kazini, na hata kwenye familia watu waliniona…
NAIBU KATIBU MKUU ATEMBELEA NANENANE KUJIONEA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA ZIWA VICTORIA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Saidi Shaibu Mussa, ametembelea eneo la Nanenane jijini Mwanza…
WADAU WAHAMASISHWA KUWEKEZA KATIKA UHIFADHI WA ZIWA VICTORIA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Bi. Rose Ambrose, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo, taasisi mbalimbali na wananchi kuwekeza katika uhifadhi na…
MANISPAA YA ILEMELA YAJIFUNZA UTEKELEZAJI MIRADI YA KIMKAKATI JIJINI DODOMA
DODOMA Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imefanya ziara katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kujifunza namna ya utekelezaji wa miradi ya…
TANZANIA YAPOKEA TANI 25 ZA TENDE KUTOKA SAUDI ARABIA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea tani 25 za tende kutoka kwa Ufalme wa Saudi Arabia ikiwa ni utamaduni endelevu unaoonesha mshikamano…
MCHENGERWA: MAGEUZI YA KIDIJITALI KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA YASHIKA KASI
Na John Mapepele Geneva – Uswisi Wakati dunia ikiendelea kuharakisha matumizi ya mifumo ya afya inayotegemea teknolojia ya kidijitali, Tanzania inaendelea kujijengea nafasi kama…
RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI KIGALI BAADA YA KUSHIRIKI MKUTANO WA NISHATI YA NYUKLIA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali mara baada ya…
MFUMO WA TAARIFA ZA MAAFA ZANZIBAR KUIMARISHA ULINZI WA JAMII
NA FAUZIA MUSSA MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Moh’d Ali Abdalla amesema mfumo wa taarifa za maafa wa Zanzibar (ZDMIS) utakuwa mkombozi mkubwa…
TET KUSHIRIKIANA NA DUCE KUIMARISHA ELIMU KUPITIA TAFITI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba akizungumza leo Mei 19, 2026 wakati akifungua maonesho ya Wiki ya Utafiti na…
YAS YAONGEZA MINARA MIWILI YA 5G ARUSHA, YAAHIDI HUDUMA ZA VIWANGO
Robert Sanyagi – Mkuu wa Yas – Kanda ya Kaskazini akizungumza na vyombo vy habari wakati wa hafla hiyo …………. Arusha – Wakazi wa…
DKT. YONAZI ATOA WITO KWA WANANCHI KUTUMIA VITUO VYA MAARIFA KUJUA HALI ZAO ZA AFYA
Na Mwandishi Wetu -Morogoro Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi, ametoa wito kwa wananchi…
NEEMA YANUKIA KWA WANANCHI WA KALEMAWE , MKURUGENZI SAME AAGIZWA KUPELEKA MCHANGANUO WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
📍Bungeni Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Anna Kilango Malecela ameendelea na jitihada zake za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanapata…
TANZANIA KUJIFUNZA KUTOKA CHINA KUHUSU MAGEUZI YA MASHIRIKA YA UMMA
Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Tanzania imeonesha nia ya kutumia uzoefu wa China katika mageuzi ya mashirika ya umma, ikiwa ni sehemu ya…
SERIKALI YAAHIDI KUIMARISHA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa stakabadhi ghalani…
CMSA YAHIMIZA BIDHAA BUNIFU MASOKO YA MITAJI, iTRUST YAZINDUA HATIFUNGANI YA SHILINGI BILIONI 100
Na John Bukuku, Dar es Salaam Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezitaka kampuni zinazotoa huduma katika masoko ya mitaji nchini kuendelea…
SERIKALI YAFICHUA MIKAKATI YA KULIPA MADENI YA WAKANDARASI NA WAZABUNI.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, aliyetaka kujua mpango…