Top Stories
View all
HALAMGA AIPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MAFANIKIO YA KUKUZA SEKTA YA UTALII
Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Mbunge wa Hanang, Asia Halamga ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa hatua na mikakati inayoendelea kuchochea maendeleo ya sekta…
MJUMBE WA KAMATI KUU ACT WAZALENDO AWATAKA VIONGOZI WA MAJIMBO KUIMARISHA MAPAMBANO YA KISIASA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT WAZALENDO Taifa, Raisa Abdallah, amewataka viongozi wa majimbo kuendelea kuimarisha mapambano ya kisiasa kwa lengo la…
WANACHAMA WA ACT WAZALENDO WATAKIWA KUONGEZA NGUVU YA CHAMA KUPITIA USAJILI WA WANACHAMA WAPYA
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Tawi la Kitunda, Jimbo la Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba, wametakiwa kuongeza juhudi za kusajili…
MELEKA KULWA NDIYE MWAKILISHI WA MTANDAO WA FULLSHANGWE KANDA YA KATI DODOMA
MELEKA KULWA PICHANI JUU NDIYE MWAKILISHI WA FULLSHANGWEBLOG KANDA YA KATI DODOMA WADAU WETU WOTE WAWASILIANE NA MELEKA KULWA MOJA KWA MOJA AU MKURUGENZI…
MASWI ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA NIDHAMU KWA WATUMISHI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
Na. Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Bw. Eliakim Maswi, amewataka …
TANZANIA NA MAREKANI ZATAKA MKATABA WA AFYA WENYE MANUFAA PANDE ZOTE KUWA MFANO AFRIKA
Na John Bukuku Waziri wa Afya, Mohamed Omary Mchengerwa, amekutana na Afisa wa Marekani wa Shirika la Global Health, Brad Smith, mjini Geneva na…
WAZIRI WA AFYA ASHIRIKI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO “WALK THE TALK” GENEVA USWISI
Waziri wa Afya na Mbunge wa Rufiji Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ameshiriki matembezi ya mshikamano ya “Walk the Talk” yalioandaliwa na Shirika la Afya Duniani …
NILIFUKUZWA KAZI LIVE KWA ZOOM, BOSS AKAFICHUA SIRI YANGU MBELE YA WOTE
Siku hiyo nilikuwa nimejiandaa kwa meeting ya kawaida tu ya kazi kupitia Zoom. Nilivaa vizuri juu lakini chini nilikuwa nimevaa kawaida, nikidhani hakuna mtu…
NILIVYOFANYA BIASHARA YANGU IANZE KUONEKANA BAADA YA KUKAA MIEZI BILA WATEJA NA KUKARIBIA KUFUNGA DUKA
Kufungua biashara ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Nilikuwa nimeweka akiba kwa miaka kadhaa ili siku moja niweze kujiajiri na kusaidia familia yangu kwa…
NGORONGORO MOTO MOTO BAJETI 2026/2027
Na Kassim Nyaki, Dodoma. Leo tarehe 18 Mei, 2026 waheshimiwa wabunge wataendelea kujadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyowasilishwa ijumaa iliyopita na…
DKT. MWIGULU AMUAGA MKURUGENZI MKAZI WA (WB) MALAWI, TANZANIA, ZAMBIA NA ZIMBABWE
*Apongeza mchango wake katika maendeleo nchini. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 17, 2026 ameshiriki katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa…
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
NMB YAPATA SH. BILIONI 468 KUCHOCHEA MIKOPO KWA WAKULIMA NA WAJASIRIAMALI
Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bank Plc, Ruth Zaipuna (kushoto), na Makamu wa Rais wa IFC Kanda ya Afrika, Ethiopis Tafara,…
SIMBA SC YAWASHA ‘MOTO’ CRDB FEDERATION CUP
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu…
SERIKALI KUONDOSHA ADHA YA MAJI CHEMBA
Serikali imejipanga kuondosha adha ya huduma ya maji kwa wakazi wa Chemba. Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itahakikisha Mradi wa Maji…
SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA KILIMO NA UVUVI
Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam Serikali imeeleza hazma yake ya kuendelea kutekeleza miradi ya mashirikiano katika sekta za kilimo na Uvuvi kwa…
DKT. MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANANCHI KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI
* Asema utekelezaji wa Bwawa la Farkwa kuanza baada ya kukamilika kwa taratibu za manunuzi * Aagiza kukomeshwa kwa ukamataji usio na msingi wa…
NILIFUNGIWA NDANI YA LIFT NA EX WANGU, SIRI ZIKATOKA BILA FILTER
Siku hiyo nilikuwa nimeenda kwa building moja ya kifahari kwa meeting ya kawaida ya kazi. Nilikuwa focused kabisa, nikiwa na plan ya kumaliza shughuli…
WAFANYABIASHARA WA MADINI NZEGA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUIMARISHA BIASHARA YA MADINI
TABORA Uongozi wa Soko la Madini Nzega mkoani Tabora umempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuanzisha masoko…
NILIPIGIWA SIMU NAMBA YANGU MWENYEWE. NDIPO MAMBO YAKAANZA KWENDA LEFT
Siku hiyo ilikuwa jioni ya kawaida kabisa. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikitazama TV, nikijaribu kupumzika baada ya siku ndefu ya kazi. Ghafla, simu yangu ikaanza…
DKT. MWIGULU ASISITIZA KUKAMILIKA KWA MRADI WA MAJI CHEMBA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuhakikisha Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Mji wa Chemba unakamilika kwa wakati ili kuongeza…
TANZANIA YASISITIZA UTEKELEZAJI WA AGENDA MPYA YA MIJI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Tanzania, Dkt. Leonard Akwilapo akisoma tamko la serikali ya Tanzania wakati akihutubia Mkutano wa Mawaziri…
SERIKALI,UN-HABITAT KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA MAKAZI NA MAENDELEO YA MIJI
Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na UN-Habitat katika jitihada za kukuza maendeleo…
WASIRA:WALIOHUSIKA VURUGU OKTOBA 29 WACHUKULIWE HATUA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akiwahutubia mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini leo Mei 16,…
TIMU YA BWENI YATWAA UBINGWA AWESO VIJANA CUP
NA: MWANDISHI WETU, PANGANI Timu kutoka Kata ya Bweni ya wilaya ya Pangani imefanikiwa kuibuka mshindi wa mashindano ya Aweso Vijana Cup kwa ushindi…
DKT. MWIGULU AHIMIZA WANANCHI KUIOMBEA AMANI YA NCHI
WAZIRI MKUU, amewahimiza wananchi kuendelea kuiombea Tanzania ili amani, umoja na mshikamano wa kitaifa viendelee kuimarika sambamba na nchi kuendelea kupiga hatua za maendeleo…
TANZANIA NA URUSI ZAFUNGUA UKURASA MPYA WA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI KIUCHUMI, ELIMU NA NISHATI
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirikisho la Urusi zimefungua rasmi ukurasa mpya wa ushirikiano wa kimkakati katika…
TANZANIA YAUNGA MKONO MAAZIMIO YA UN KUTAFUTA AMANI YA KUDUMU MASHARIKI YA KATI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuunga mkono kikamilifu maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) na jitihada…
SIFA YA WADATOGA KUOA WAKE WENGI
Katika bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, makabila ya Wadatoga na Wahadzabe ambayo ni sehemu ya Jiopaki ya Ngorongoro Lengai walitia nakshi na…
ISO KONGWE HAIVUKI
Waswahili husema _Iso kongwe haivuki na Utu uzima dawa_, misemo hii imedhihirika mwishoni mwa wiki hii wakati Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt.…
KIONGOZI MKUU WA BOHORA DUNIANI ASAFIRI KWA SGR, AIPAISHA HADHI TANZANIA KIMATAIFA
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema safari ya Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Kiislamu ya Bohora Duniani (Da’i al-Mutlaq), Syedna Mufaddal Saifuddin, kwa kutumia…
SERIKALI KUIMARISHA NISHATI YA UMEME WILAYANI KONDOA
Katika jitihada za kuendeleza ustawi wa wananchi na kuchochea uchumi wa maeneo ya vijijni na vitongojini, Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme wilayani Kondoa…
PROF. SHEMDOE ASISITIZA KUIMARISHA UPANGAJI MIJI INAYOIBUKIA KATIKA MAENEO YENYE VITUO VIKUBWA VYA TRENI YA MWENDO KASI
Na OWM – TAMISEMI, Azerbaijan Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…