Waziri wa Afya na Mbunge wa Rufiji Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ameshiriki matembezi ya mshikamano ya “Walk the Talk” yalioandaliwa na Shirika la Afya Duniani pembezoni mwa mkutano wa Mkutano Mkuu wa Afya Duniani unaofanyika hapa Geneva. Ameambataba na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus.
Watu wengi wamejitokeza katika matembezi haya wakiwemo baadhi ya Watanzania wakiwemo Chief Medical Officer Dr Grace Maghembe, Prof. Mohammed Janabi RD-Afro na wengine kama inavyoonekana pichani.

