BUNGENI : Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo leo Mei 20, 2026 anatarajia kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
ULEGA AWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2026/2027
