Maisha yetu yalikuwa ya kawaida na yenye furaha. Mtoto wangu alikuwa mchangamfu, anacheza vizuri mchana, anakula kawaida, na kila kitu kilionekana kwenda sawa. Lakini ghafla hali ilianza kubadilika. Mwanzoni nilidhani ni jambo la kawaida kwa watoto. Alianza kulia sana usiku bila sababu ya kueleweka.
Nilimnyonyesha, nikambeba, nikambembeleza, lakini bado alikuwa analia kwa muda mrefu kiasi cha kutufanya tushindwe kulala. Kadri siku zilivyopita, hali ilizidi kuwa ngumu. Kulikuwa na usiku analia kuanzia saa za usiku hadi karibu alfajiri. Wakati mwingine alikuwa akishtuka usingizini ghafla na kuanza kulia sana kana kwamba kuna kitu kimemshtua.. …. SOMA ZAIDI
