MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR AMANI ABEID KARUME
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani…
Serikali wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, imemuokoa mtoto mwenye umri wa miaka 10, jina limehifadhiwa, aliyekuwa ameachishwa shule na familia yake na kupelekwa kwa mwanaume…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Waandishi wa Habari Agosti 13, 2026 jijini Dodoma kuhusu ufadhili wa masomo…
Mratibu Msaidizi wa Idara ya Hesabu na Mhadhiri wa UDSM, Dkt. Sylivesta Rugeiyhamu akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha .Makamu Mkuu wa Chuo…
Katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi (mwenye fulana yenye milia na mtandio) alipotembelea banda la VETA kwenye…
Na INSP. Nurdini Nanyanga – DSM Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, leo Agosti 13, 2026, amefanya ziara katika Ubalozi wa…
Na Hellen Mtereko,Mwanza Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma nzuri ya mfumo wa maji ulio safi, salama na wakudumu Kampuni ya VEROTAS PLUMBING imeendelea kutoa…
Na Mwandishi Wetu, Dar Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb.) amefurahishwa na Huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)…
Na Meleka Kulwa — Fullshangwe Blog, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake la Stand for Her Land, Wakili Tike…
Na Meleka Kulwa — Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, amesema Serikali itayafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa katika…
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa pili kushoto) akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisikiliza maelezo ya Mradi wa Makaazi wa Amani Residency kutoka…
Na Meleka Kulwa — Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda , ameitaka Kamati za Ushauri wa Stadi (Training…
*Lengo ni kuchukua hatua kwa wanaoitumia vibaya *Waziri Mavunde aelekeza RMOs kufanya ukaguzi wa mara kwa mara *Mchango wa wachimbaji wadogo kwenye uzalishaji madini…
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeandaa mpango wa miaka mitano (2025/2026 hadi 2029/2030) wa kuendeleza miliki za Serikali (majengo/viwanja)…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 11 Agosti 2026, amerejesha tabasamu kwa wananchi watano baada ya kufanikisha maridhiano ya mgogoro wa umiliki wa…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Wolta Kirita amefanya ziara ya kukagua mradi wa maji wa Ushetu…
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Agosti 13, 2026 Shule ya Chalinze Modern Islamic ,Mkoani Pwani, inawajengea wanafunzi ujuzi wa vitendo katika fani mbalimbali ikiwemo udaktari,…
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba,akipata maelezo mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) katika Maonesho…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amezindua Kliniki ya Watumishi wa Umma inayolenga kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili watumishi…
Mfanyabiashara Hersi Warsame Mohamed (kushoto) akizungumza kwa furaha na wananchi waliohusika katika mgogoro wa madai ya kudhulumiwa ardhi na mfanyabiashara huyo uliodumu kwa miaka…
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba (Mb.), ametembelea mabanda ya Wizara ya Nishati na taasisi zake katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi yanayoendelea…
Menejimenti ya Wakala ya Maji na Usafi wa Mazingira (RUWASA) pamoja na Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) Kwa pamoja zimekutana na kujadiliana njia…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani zimekubaliana kuendelea na kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, ikiwemo biashara na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa ufunguo wa gari la wagonjwa kutoka kwa Mwakilishi wa…
Dar es Salaam, Agosti 13, 2026 CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetangaza rasmi kuanzisha kampeni maalum inayojulikana kama ‘AFCON Kitaa…
Kuanzia wa pili kushoto, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Sauda Msemo; Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi Rwegasira; na Naibu…
Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema kuwa mashindano ya ngalawa race ni miongoni mwa…
Wananchi mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuendelea kujenga na kuboresha miundombinu ya huduma za afya, hatua iliyowarahisishia upatikanaji wa huduma hizo bila kulazimika kusafiri…
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro limetajwa kuwa ndio kivutio namba moja kilichotembelewa zaidi na watalii kwa mwaka 2025 ambapo watalii 859,933 walitembelea hifadhi hiyo…
Kizimkazi- Zanzibar Mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi imepongezwa kwa kuendelea kuboresha hali ya utoaji mafunzo katika vyuo vyake kote nchini. Pongezi…
Wakili wa Serikali Mkoa wa Morogoro kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Iddi Mgeni ameongoza kikao cha majadiliano na maridhiano ya kumaliza…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakati wa…