DKT. MWIGULU AWAKUTANISHA VIONGOZI WA SERIKALI NA WAKAZI WA MAHOMANYIKA NA IPALA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumatatu, Aprili 20, 2026) ameendesha kikao cha kutafuta suluhu ya mgogoro wa Mahomanyika wilayani Dodoma mkoani Dodoma uliodumu…
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumatatu, Aprili 20, 2026) ameendesha kikao cha kutafuta suluhu ya mgogoro wa Mahomanyika wilayani Dodoma mkoani Dodoma uliodumu…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Waziri…
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi TFS na Meneja wa Rasilimali Watu, Bahati Mtomaye alisema kuwa matumizi sahihi ya Mifugo pamoja na kuzingatia maadili ni nguzo…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Aprili 20, 2026 KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji…
Mkuu wa Shule ya Sekondari Korona, Mwalimu Christopher Malamsha akizungumza kwenye mahafali hayo jijini Arusha. Afisa Elimu Sekondari wa Jiji la Arusha, Mwalimu Joshua…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho…
Na Mwandishi Wetu, Tarime Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali itahakikisha inajenga na kukamilisha kwa kiwango cha lami miradi yote viporo…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kanisa Kuu…
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ‘Netiboli’ ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakifanya mazoezi ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza kwa…
Katikati aliyevaa tracksuit nyeusi kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi Sipha Mwanjala akishiriki katika mazoezi ya viungo. 20.04.2026 Na mwandishi wetu, Mlele Wakazi wa…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Wizara ya Maliasili na Utalii imefumbua rasmi fumbo la #ATM2030 kwa kuonesha safari ya kuelekea watalii milioni 8 ifikapo mwaka…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiteta na Elina Mwandu (mwenye Mahitaji Maalum) baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika…
▪️Awataka wahakikishe miradi inasimamiwa na kuleta tija iliyokusudiwa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watendaji wa Serikali wanajukumu la kuhakikisha miradi ya maendeleo inayotokelezwa…
Rais wa zamani wa Liberia, Mheshimiwa Ellen Johnson Sirleaf ambaye pia ni Mlezi wa Mtandao wa Wanawake Viongozi barani Afrika African Women Leaders Network…
Na Mwandishi Wetu Baadhi ya abiria na wananchi wameelezea kuridhishwa kwao na uamuzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuongeza safari za treni za…
Na. Sixmund Begashe, Njombe Timu ya mpira wa Pete ya Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeiadhibu vikali Timu ya Pete…
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akichangia mada katika mkutano ulioangazia umuhimu wa sekta ya maji katika maendeleo ya watu na…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiagana na Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Benki ya Exim ya Marekani, Bw. John…
Mfilisi wa mali za chama kikuu cha ushirika wa wakulima wa kahawa wilaya ya Mbinga(Mbifacu)Watson Nganiwa,akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Kisare Makori, hati…
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Aprili 19, 2026 MWENGE wa Uhuru umetambua mchango wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28, Chamwino Dodoma, Aprili 19, 2026. Wengine kutoka kushoto…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Aprili 19, 2026 VIONGOZI mbalimbali wametakiwa kutendea haki nafasi walizonazo katika maeneo yao ya kazi ili kuleta matokeo chanya na kuacha…
Na Mwandishi wetu, Arumeru MDAU wa madini ya Tanzanite, Hamisi Kim Komando ametoa zawadi ya kompyuta shule ya sekondari Makiba ya Wilayani Simanjiro Mkoani…
Tume ya Madini kwa ushirikiano wa Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Taasisi ya kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev) wameendelea kutoa…
Mkaguzi wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo,…
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika uzinduzi wa Binti Jasiri UDSM inayoongozwa na kaulimbiu…
18 April 2026 Jopo la Wataalamu 12 (Madaktari Bingwa, wauguzi, usingizi na ganzi) kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) na Chuo Kikuu cha Dodoma…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Polisi Mkoa wa Songwe lilifanya operesheni maalum ya pamoja ya kukamata wahalifu waliotenda matukio ya…
Na. Sixmund Begashe, Njombe Timu za Mpira wa Miguu Wanaume na Mpira wa Pete za Wizara ya Maliasili na Utalii zimeibuka na ushindi mnono…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakifuatilia mada mbalimbali katika…