Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji akiwa na mkoba wenye hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27 inayotarajiwa kusomwa bungeni Dodoma Mei 15, 2026.