WACHIMBAJI MADINI WANAWAKE WASHAURIWA KUFANYA SHUGHULI ZA MADINI CHINI MWAMVULI MMOJA
▪️Waziri Mavunde aelekeza baadhi ya Leseni zilizofutwa kugawiwa wanawake ▪️Wamshukuru Rais Samia kwa vifaa vya uchimbaji madini ▪️Wanawake wajipanga kuongeza uzalishaji madini Dodoma Wanawake…