Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Queen Sendiga (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi vifaa vya kupulizia viuatilifu (Knapsack Sprayer) kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kutoka kushoto), mara baada ya Kikao cha Tathmini ya Lishe kilichofanyika Mkoani Morogoro

Washiriki katika makabidhiano hayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Ndg. Kisena Mabuba (kushoto kabisa) na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilosa, Ndg. Salome Mkinga (kulia kabisa) Oktoba 6, 2026.