Waziri Mkuu DKt. Mwigulu Nchemba akizungumza na washiriki wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 28 wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa SADC (ECF-SADC), unaofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency – The Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Novemba, 2026. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AFUNGUA MKUTANO WA SADC DAR
