SERIKALI YATENGA BILIONI 52.25 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI 105 NCHINI- DKT. SEIF
Serikali imesema imetenga kiasi cha shilingi bilioni 52.25 katika bajeti ya mwaka 2026/2027 kwa ajili ya kuzifanyia ukarabati hospitali za Wilaya na Manispaa 105,…