Naitwa Agatha, mkazi wa mkoa wa Kagera. Licha ya kuwa na heshima kubwa kazini kama Mwalimu Mkuu, nyumbani kwangu nilikuwa sina thamani yoyote. Kwa miaka tisa ya ndoa, sikuwa nimewahi kuona hata dalili ya ujauzito.
Ndugu wa mume wangu walikuwa wakifanya vikao vya mara kwa mara bila mimi kuwepo, wakipanga jinsi ya kumtafutia mume wangu mwanamke mwingine “mwenye uwezo wa kuleta uzao”. Nilihisi upweke wa ajabu katikati ya watu ninaowapenda…… SOMA ZAIDI
