Maisha ya mtaani hayana huruma, na hakuna kitu kinachoumiza kama kuamka kila siku ukiwa na shahada yako kabatini huku mifuko ikiwa haina hata shilingi ya kununulia kiberiti. Mimi naitwa Elias, mkazi wa Tabata, Dar es Salaam.
Nilimaliza Chuo Kikuu mwaka 2017 nikiwa na matumaini makubwa ya kulikomboa jahazi la familia yetu maskini. Lakini, miaka saba ilipita nikiwa mzururaji, nikishinda vijiweni na kuomba sigara kwa watu ambao hata shule hawakuenda…….. SOMA ZAIDI
