Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, wakati wa Mazishi yaliyofanyika Kijiji cha Mabui Merafuru – Musoma mkoani Mara, leo tarehe 16 Mei 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akimfariji Mzee Benard Makene ambaye ni Baba wa Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipowasili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mabui Merafuru- Musoma mkoani Mara kushiriki Ibada ya Mazishi leo tarehe 16 Mei 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, wakati akishiriki Ibada ya Mazishi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mabui Merafuru – Musoma mkoani Mara leo tarehe 16 Mei 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mabui Merafuru – Musoma mkoani Mara leo tarehe 16 Mei 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa salamu za rambirambi mara baada ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mabui Merafuru – Musoma mkoani Mara leo tarehe 16 Mei 2026.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Boniface Makene aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, wakati wa Mazishi yaliyofanyika Kijiji cha Mabui Merafuru – Musoma mkoani Mara, leo tarehe 16 Mei 2026.