KATIBU LEONARD AKUTANA NA NAIBU KATIBU WA BUNGE LA GHANA JIJINI DODOMA
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge,…
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge,…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Mwenyekiti wa AAPAM Tawi la Tanzania (AFRICAN ASSOCIATION FOR PUBLIC ADMINISTRATION AND MANAGEMENT TANZANIA CHAPTER) Jumuiya ya Wataalamu…
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakikagua mradi wa kuunganisha umeme katika vitongoji 105 mkoani Mbeya wenye thamani ya…
Na Mwandishi Wetu Shirika la Mawasiliano Tanzania, TTCL, limesema linaendelea kuboresha huduma zake kwa wateja baada ya kununua magari saba aina ya Hilux na…
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Kamati…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Habari Afrika,. Ernest Sungura akizungumza na waandishi wa habari…
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita haitavumilia kuona mwananchi akishindwa kupata dawa au huduma za afya…
Na OWM-TAMISEMI, Dodoma Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo Aprili 29, 2026. ……… Serikali…
Na John Bukuku, Kibiti Serikali kupitia ushirikiano na wadau wa afya, ikiwemo Gavi, imekabidhi boti saba zenye thamani ya Sh1.1 bilioni kwa ajili ya…
Kulikuwa na kipindi ndoa yangu ilifika hatua ya hatari sana. Tulianza kwa upendo mkubwa, lakini kadri miaka ilivyopita, mambo yalibadilika. Mawasiliano yakapungua, mabishano yakawa…
WADAU wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT–MMMAM) wamekutana mkoani Morogoro kuandaa mpango kazi wa programu…
Na David KAFULILA Aprili 29,2026 Jana PPP CENTRE tulikuwa na kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi. Pamoja na kuwapongeza kwa mafanikio makubwa ya…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akishiriki Mkutano wa 12 wa Kikanda wa Afrika kuhusu ‘Agenda 2030 ya Maendeleo…
Kuna kipindi nilipitia maumivu ya mapenzi ambayo sikuwahi kufikiria ningeyapitia. Nilimpenda mtu kwa dhati, nikampa muda wangu, nguvu zangu, na moyo wangu wote. Lakini…
Maafisa Usafirishaji maarufu kwa jina la Bodaboda wa Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya wahimizwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kubaini, kuzuia na kutanzua…
Na Jeremia Mwakyoma na Jeremiah Mbwambo,BMH DODOMA – APRILI 29, 2026 Imeelezwa kuwa tatizo la usugu wa vimelea vinavyosababisha magonjwa dhidi ya dawa za…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kupitia Mkurugenzi Mkuu wake, Ephraim Mafuru, imepokea ugeni maalum kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji…
Naibu Waziri wa Nishati,Mhe. Salome Makamba ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, ambapo alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Richard Makanzo. Katika mazungumzo…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde amezungumzia umuhimu wa Watumishi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), kuwa wabunifu, wenye umoja…
📌 Zaidi ya maandiko 500 kutoka ndani na nje ya nchi yapokelewa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amepokea taarifa ya washindi wa shindano la…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, amefungua kikao cha wataalamu wa Wizara hiyo pamoja na ujumbe kutoka Jamhuri ya Korea, ukiongozwa…
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, John Kayombo akizungumza kwenye hafla hiyo jijini Arusha . Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, John…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi, amesema upatikanaji wa mabasi ya watumishi yatasaidia sana katika kuweka mazingira salama…
▪️Nchi za Kenya,Somalia na Sudani Kusini kujifunza maendeleo ya sektaya madini ▪️Rais Samia apongezwa kwa kukuza sekta ya Madini ▪️Rais Ruto azitaka nchi za…
MHESHIMIWA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameihakikishia Jamhuri ya Belarus kuwa Tanzania itaendeleza ushirikiano na nchini hiyo na kwamba amewaalika wawekezaji na wafanyabiashara kuja…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa ufadhili wenye thamani ya dola za Marekani bilioni…
Na Mwandishi wetu, Kiteto MKUU wa Wilaya ya Kiteto Mheshimiwa Remidius Mwema amewapongeza jitihada zilizopelekea kubaini uwepo wa mashamba ya Bangi Wilayani humo huku…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Canada nchini, Emily Burns kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza ushirikiano…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi ameitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuzingatia mambo 10 vya msingi huku akisisitiza nidhamu,…
*“Ili kufikia malengo ya Dira 2050 ni lazima sisi tukiwa washauri wa kisheria tukimbie mbele zaidi”- Mwanasheria Mkuu wa Serikali Waziri wa Katiba na…
Na OWM- TAMISEMI, Dodoma. Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za…
Na Farida Mangube Morogoro Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imewatoa hofu wakazi wa Manispaa ya Morogoro kuwa maji ya Bwawa la Mindu…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa Kheri James amezindua rasmi msimu wa tano wa mbio za Great Ruaha Marathon yenye kauli…