Top Stories
View all
WATUMISHI WA VETA WAUNGANA NA WAFANYAKAZI KUADHIMISHA MEI MOSI DODOMA
Watumishi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) wakiandamana katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) Mkoa wa Dododma, tarehe…
DCEA, TFS WATEKETEZA EKARI 68 ZA BANGI TABORA, WATU 7 WAKAMATWA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na Kamati ya Ulinzi…
DKT.SAMIA ASISITIZA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI
Na Mwandishi Wetu, Njombe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kulinda haki za wafanyakazi na…
SUA YASISITIZA MCHANGO WA WAFANYAKAZI, YAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI
Farida Mangube, Morogoro Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimesisitiza kuwa mafanikio yake katika tafiti, ufundishaji na utoaji wa huduma kwa jamii yanategemea…
MZUMBE YAUNGANISHA WATAFITI NA JAMII KUKABILI ATHARI ZA TABIANCHI NA CHANGAMOTO ZA MAJI
Farida Mangube Morogoro Juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na changamoto za upatikanaji wa maji zimepata msukumo mpya kufuatia kuimarishwa kwa…
MAKONDA: UHURU WA HABARI HAUWEZI KUDUMU BILA UCHUMI IMARA KWA WANAHABARI.
Happy Lazaro,Arusha . Arusha.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, amesema uhuru wa vyombo vya habari hauwezi kuwa wa kweli kama…
RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI, ASISITIZA UWAJIBIKAJI KUKUZA TIJA NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Vikombe, tuzo pamoja na vyeti kwa Wafanyakazi Hodari kutoka Wizara mbalimbali…
WATUMISHI WA UJENZI WAUNGANA NA WAFANYAKAZI KUADHIMISHA MEI MOSI DODOMA
Watumishi wa Wizara ya Ujenzi, leo Mei 01, 2026, wameungana na wafanyakazi wengine katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kudumisha juhudi, mshikamano na…
AfroExchange YAIBUA MJADALA WA KUFIKISHA MUZIKI WA TANZANIA KIMATAIFA KUPITIA DJs
Jijini Dar es Salaam jana kulishuhudiwa mjadala muhimu uliowakutanisha wadau wa tasnia ya muziki kupitia jukwaa la AfroExchange, lililodhaminiwa na Johnnie Walker, kwa lengo…
WATAALAMU WATAKIWA KUYATUMIA MAFUNZO VIZURI KUKABILIANA NA MAAFA
Na Mwandishi wetu- Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala amewataka wataalamu ambao wamepatiwa…
WATUMISHI WA WIZARA YA FEDHA WASHIRIKI MEIMOSI DODOMA.
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Fedha, wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi wakielekea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki…
NAIBU MEYA DAR ES SALAAM AWAPA HAMASA VIJANA VETA FURAHIKA
Na.Sophia Kingimali Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, John Rioba Mrema, amewataka vijana wanaosoma katika Chuo cha VETA Furahika kutumia fursa ya…
WAFANYAKAZI WA THBUB WAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, amewataka waajiri nchini kuzingatia maslahi ya wafanyakazi wao ili kuhakikisha kunakuwa na ustawi na…
WATUMISHI WIZARA YA AFYA WATOA MIL. 15 KUSAIDIA WAHITAJI HOSPITALI MIREMBE, SIKU YA MEI MOSI 2026
Na Atley Kuni, WAF-Dodoma Watumishi wa Wizara ya Afya wameshekea Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani kwa kufanya matendo ya Huruma mara baada ya kuchangia vitu…
MTENDAJI MKUU WMA ATUMA UJUMBE WA PONGEZI KWA WAFANYAKAZI WAKIADHIMISHA MEI MOSI 2026
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Alban Kihulla ametuma ujumbe wa shukrani na pongezi kwa wafanyakazi wa Wakala hiyo, siku ya maadhimisho…
NMB BAGS FIVE NATIONAL AOSH AWARDS FOR SECOND YEAR RUNNING
NMB Bank Plc has once again affirmed its leadership in workplace safety, employee wellbeing and organisational excellence after winning five accolades at the national…
DKT. AKWILAPO AKUTANA NA WADAIWA WA KODI YA PANGO LA ARDHI KIGOMA
#Asisitiza umuhimu wa kulipa Kodi ya ardhi kwa wakati #Aahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili Na Munir Shemweta, KIGOMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya…
MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA IRINGA DC WAJIKITA KATIKA KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI
NA DENIS MLOWE IRINGA MKUTANO wa Baraza la Madiwani Robo ya Tatu wa mwaka wa fedha 2025/2026 wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa umetamatika…
DKT. KISENGE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI JKCI, ASISITIZA UFANISI NA WELEDI KAZINI
Na Mwandishi Maalumu, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, amewapongeza wafanyakazi wa taasisi hiyo kwa…
WANAFUNZI WA UKUNGA, UUGUZI NA UTABIBU CHUO CHA AFYA LITEMBO WAIOMBA SERIKALI MIKOPO KUTIMIZA NDOTO ZAO
Na Mwandishi Wetu,Mbinga WANAFUNZI wa fani ya utabibu,uuguzi na ukunga wanaosoma katika chuo cha afya Litembo wilayani Mbinga,wameiomba Serikali kuhakikisha inatoa mikopo kwa wanafunzi…
KWAGILWA AHIMIZA UMOJA WA WATAALAMU WA MAZINGIRA, TEEA YAANZISHA MRADI WA MAKAO MAKUU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Reuben Nhamanilo Kwagilwa, amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050…
VIJANA KUJENGEWA UWEZO MABADILIKO YA TABIANCHI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Mashirikiano wa Shirikisho la Umoja wa Vijana…
WAFANYAKAZI WA ETDCO WAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) wameungana na wafanyakazi wengine duniani kuadhimisha Siku ya…
RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wafanyakazi waliokuwa wakipita mbele ya Jukwaa Kuu katika Maadhimisho ya…
MKURUGENZI MKUU TMDA AONGOZA WATUMISHI KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI DODOMA
Na. Fullshangwe Blog,Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa TMDA Dkt.Adam M. Fimbo ameongoza maandamano ya watumishi wa TMDA mkoani Dodoma katika kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi duniani…
KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI KUTOA ELIMU YA KINGA KWA VIJANA DODOMA
Kamati ya Kuzuia na Kudhibiti UKIMWI ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Taasisi ya DOYODO imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa…
JIJI LA DODOMA LATOA VIWANJA 1,900 KWA WAFANYAKAZI
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeibuka kivingine katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa kuachia viwanja zaidi ya 1,900 vya matumizi mbalimbali kwa…
NDUGU ALIYEPOTEZA MAWASILIANO KWA MIEZI MINNE ALIVYOPIGIWA SIMU GHAFLA SIKU TULIPOKUWA TUMEKATA TAMAA KUMTAFUTA
Kwa muda wa miezi minne, maisha yetu yalikuwa na pengo kubwa la wasiwasi. Ndugu yetu wa karibu alitoweka kwenye mawasiliano ghafla bila maelezo. Simu…
MTEJA ALIYEKATAA KULIPA DENI LA MIEZI SITA ALIVYOTUMA FEDHA ZOTE MWENYEWE SAA CHACHE BAADA YA MAWASILIANO YASIYOTARAJIWA
Kulikuwa na mteja niliyefanya naye biashara kwa uaminifu mkubwa. Tulikubaliana bidhaa na malipo yangekamilika ndani ya muda mfupi, lakini baada ya huduma kutolewa, alianza…
TANZANIA NA JAPAN KUFUNGUA MILANGO MIPYA YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi na…
WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI KAGANDA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameagana na Balozi mteule wa Tanzania katika Jamhuri…
BENKI YA USHIRIKA YAONESHA UKUAJI MKUBWA KWA MWAKA, YAONGEZA UJUMUISHI WA KIFEDHA
Na John Bukuku, Dar es Salaam Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank) imeendelea kuonyesha mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tangu kuanzishwa…
DC MWEMA AKABIDHIWA RASMI NA RC SENDIGA JENGO LA OFISI
Na Mwandishi wetu, Kiteto MKUU wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Remidius Mwema, amekabidhiwa rasmi jengo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto…
CHUO KIKUU CHA HARVARD CHA MAREKANI KUINGIA USHIRIKIANO WA MATUMIZI YA AKILI MNEMBA (AI) NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Harvard Kennedy School, Prof. Jeremy M.…
WAZIRI WA FEDHA NA RC DODOMA WAANGAZIA FURSA ZA KIUCHUMI DODOMA
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Mkoa wa Dodoma una fursa nyingi za kiuchumi na…