MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA TUZO ZA JUBILEI YA MIAKA 50 YA MAONESHO YA SABASABA
ASISITIZA DHAMIRA YA SERIKALI YA KUJENGA UCHUMI SHINDANI WA VIWANDA ILI KUFIKISHA NCHI UCHUMI WA KIPATO CHA KATI CHA JUU Makamu wa Rais wa…
ASISITIZA DHAMIRA YA SERIKALI YA KUJENGA UCHUMI SHINDANI WA VIWANDA ILI KUFIKISHA NCHI UCHUMI WA KIPATO CHA KATI CHA JUU Makamu wa Rais wa…
Na OWM–TAMISEMI, Ifakara Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ifakara wanatarajia kunufaika na huduma za kulaza wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ifakara mara…
Mkuu wa Idara ya Kilimo kwa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Christopher Mwalugenge, akizungumza na Theresia Mbilinyi kuhusu huduma na suluhisho za kifedha…
Na Kassim Nyaki, Ngorongoro. Mbio za Mwenge wa Uhuru jana tarehe 6 Julai, 2026 zilliwasili Wilaya ya Ngorongoro na kukimbizwa umbali wa kilomita 386…
NIRC: DODOMA Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuweka mikakati ya jinsi ya kusafirisha mitambo yake mikubwa ya kuchimba visima virefu kwenda maeneo…
Taasisi ya BRIGHT yawasilisha mpango wa kuanzisha Kituo cha Umahiri wa Teknolojia ya Betri* DODOMA – Wizara ya Madini imeanza hatua za mwanzo za…
Paris, Ufaransa Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi kutoka Wizara ya Fedha ya Ufaransa, Shirika la Maendeleo la…
Na Mwandishi wetu, Nzega MKUU wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, Naitapwaki Tukai ameviagiza vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu kuendeleza na kudumisha…
Timu ya Taifa ya Hispania imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Ureno kwa bao 1-0 katika mchezo…
NA: DK. REUBENI LUMBAGALA Kuna umuhimu mkubwa kwa Watanzania kubadili mtizamo kuhusiana na lugha ya Kiswahili. Hii ina maana kuwa, tusiiangalie lugha ya Kiswahili…
Na Mwandishi Wetu Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice M.S. Mafumiko, ametembelea banda la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) katika Maonesho ya…
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kutembelea katika banda la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya…
Katika Viwanja vya Sabasaba, timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ikiongozwa na Kamishna wa Uhifadhi Abdul-Razaq Badru tarehe 6 June, 2026 ilivifunika viwanja…
Na.Sophia Kingimali. CHUO cha Uhasibu Tanzania (TIA) kimewahimiza wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu pamoja na waajiri kutumia fursa zinazotolewa na chuo hicho,…
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile ametoa wito kwa Sekretarieti ya Maadili kuharakisha mchakato wa kubadili sheria ya Maadili ili iguse…
Munir Shemweta, Kwimba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amesema Wizara yake itaendelea kuhakikisha wamiliki wa ardhi wanapatiwa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa onyo kwa wamiliki wa vyombo vya habari, waandishi…
Geneva — Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya kasi ya Akili Unde (AI) yanasimamiwa kupitia mifumo ya…
Na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, amesema taasisi hiyo inaendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia malengo…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb)(katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Fedha wanaoshiriki katika Maonesho…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, amewasikiliza wananchi wa vijiji vya Makombe ,Kihanga Na Kidilo vilivyoko Kata ya Kihanga…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam,…
Maadhimisho ya 5 ya Siku ya Kiswahili Duniani yamefikia kilele jijini Bujumbura, Burundi, huku viongozi wa Afrika Mashariki wakitoa wito wa kuongeza jitihada za…
Mhandisi wa Umeme wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) Aron Julius Munuo (Katikati) akitoa taarifa…
Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati naMaji (EWURA CCC) limewataka wananchi kutumia huduma za umeme,…
▪️Atangaza fursa za madini muhimu ambayo Tanzania inayo ▪️Awataka kuwekeza kwenye kuongeza thamani Madini nchini ▪️Waziri Mavunde asema ni matakwa ya sera ya Madini…
Asema kasi ya maendeleo chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amani, uchumi, afya, maji na miundombinu vimemshawishi kubadili msimamo wa kisiasa. Na Oscar…
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaalika wafanyabiashara kutoka Ufaransa wawekeze nchini Tanzania kwani ina fursa ya kutengeneza ajira, kuhamisha ujuzi na kujenga uchumi wa…
📍Dar es Salaam Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janet Lekashingo, amesema Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 imeipa sekta ya madini nafasi ya…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam , Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ametembelea banda la Ofisi ya Mwanasheria…
Na Happy Lazaro, Arusha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa tathmini ya utendaji kwa mwaka wa fedha 2025/2026 mkoani…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa…
Benki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu…
Na Oscar Assenga,TANGA Wazazi, walezi na waajiri nchini wamehimizwa kuhakikisha watoto wanawakatia bima ya afya mapema ili kuwaepusha na changamoto za gharama kubwa za…