Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, ambapo ni Mgeni Rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za Jubilei ya Dhahabu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba). Tarehe 06 Julai 2026.