Top Stories
View all
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI MBIO ZA REDCROSS MARATHON ARUSHA KESHO
Na Happy Lazaro, Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya teknolojia ya ZOLA ELETRIC,Johnson Kiwango ambao ni wasambazaji wa teknolojia ambayo inawawezesha wauzaji wa sola…
ANGOLA IMELIPA DENI LA HISTORIA KWA MWALIMU NYERERE NA TANZANIA
Na Mwandishi Wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioamini kuwa uhuru wa Tanzania usingekuwa na maana ikiwa mataifa mengine…
MATUMIZI YA MBOLEA YAPANDA MARA NNE, USALAMA WA CHAKULA WAIMARIKA
Na.Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imeanza utekelezaji wa mpango mkubwa wa kuongeza upatikanaji wa mbolea nchini kwa kuagiza tani 200,000…
MNYAMA AZINDUA JEZI UNYAMANI NGORONGORO
Unaweza kusema dili limetiki kufuatia klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam kuchagua kivutio namba moja cha utalii barani Africa kufanya uzinduzi wa…
DKT. MWIGULU: BIDHAA ZA TANZANIA ZIWE NA UBORA WA KUSHINDANA KILA SIKU
Na. Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa wazalishaji nchini wanapaswa kuboresha ubora wa bidhaa zao ili ziweze…
NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AGGREY MWANRI AKABIDHIWA OFISI LUMUMBA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri akipokewa na kusalimiana kwa tabasamu na bashasha na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu…
FCC YANADI DIRA 2050 MKUTANO WA VIWANDA DURBAN – AFRIKA KUSINI
DURBAN – AFRIKA KUSINI Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, amezishauri nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa…
VIJANA 60 WAHITIMU MAFUNZO YA MRADI WA
Mkurugenzi wa Veta Kanda ya Nyanda za Juu Suzan Magani kushoto, akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Songea fani ya umeme wa…
MWENYEKITI WAZAZI TAIFA APONGEZA MRADI WA MAJI WA MILIONI 320 UNAOTEKELEZWA NA RUWASA KIBITI
Na Victor Masangu,Kibiti Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji ambao unatakelezwa na Wakala wa…
WAZIRI MKUU APONGEZA NMB KWA KUSOGEZA HUDUMA ZA KIFEDHA VIJIJINI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Bi. Vicky Bishubo,…
PPRA YAAGIZWA KUSIMAMIA THAMANI YA FEDHA KATIKA UNUNUZI WA UMMA
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiielekeza Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma…
TIB YANADI DIRA 2050 MKUTANO WA VIWANDA WA SADC DURBAN
Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za…
RC SENDIGA ATOA SIKU 14 KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA KIWANDA CHA MBOLEA MINJINGU
Na John Walter -Babati MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, ametoa siku 14 kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati kwa kushirikiana na…
DKT. MWIGULU: TADB IONGEZE UWEZO WA KUTOA MIKOPO KWA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameielekeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuongeza uwezo wake wa…
RAIS SAMIA NA RAIS LOURENÇO WA ANGOLA WAZINDUA HOSPITALI YA JULIUS NYERERE ANGOLA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço…
AFISA MTENDAJI MKUU WA WMA AZUNGUMZA NA WATUMISHI ARUSHA, ASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Mark Kihulla amewatembelea na kuzungumza na watumishi wa Wakala huo Mkoa wa Arusha tarehe…
NMB YAENDELEA KUIMARISHA KILIMO KUPITIA USHIRIKIANO WA NANENANE
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (wapili kushoto), akipokea mfano wa hundi ya udhamini kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango (wapili…
TUMIA UMEME KUPIKIA, OKOA GHARAMA NA LINDA AFYA: ELIMU YATOLEWA MWASONGA KIMBIJI
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni, Wilaya ya Kimbiji, Mhandisi Lukaluka Kapinga (kulia) akitoa elimu ya matumizi ya nishati safi…
VETA YATANGAZA UBUNIFU WA MAVAZI KUWA AJIRA YA UHAKIKA KWA VIJANA
Na Sophia Kingimali Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) Dar es Salaam kimesema sekta ya ubunifu wa mavazi na mitindo ina uwezo mkubwa…
WACHIMBAJI TANZANITE WAUNGA MKONO TANZANITE MARATHON KWA MILIONI 23.6
Na Mwandishi wetu, Mirerani WADAU wa madini ya Tanzanite, mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, wamechangia Sh23.6 milioni kwa ajili ya kuboresha…
CHANDA CHEMA HUVIKWA PETE
Maafisa na askari wa jeshi la Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro waliopoteza maisha, kujeruhiwa na kufanya kazi kwa uhodari wametunukiwa…
WAANDISHI BONGO FM WAJIVUNIA MAFUNZO YA JAB
Waandishi wa Habari wa redio ya vijana Bongo FM wameishukuru Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kuwajengea uwezo na kuwakumbusha masuala…
TAREWU, GDC WAINGIA MAKUBALIANO KUIMARISHA UONGOZI NA USIMAMIZI WA MIRADI
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Wafanyakazi Wakusanya Mapato Tanzania (TAREWU) kimeingia makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati na Global Dynamics Consulting (GDC) yatakayolenga kuimarisha uwezo…
TRA YAFANYA KIKAO NA WADAU WA MICHEZO YA KUBAHATISHA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya kikao na wadau wa michezo ya kubahatisha ikiwemo waendeshaji kutoka makampuni mbalimbali kwa lengo la kujadili masuala ya…
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA ANGOLA MHE. JOÃO MANUEL LOURENÇO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João…
MATUMIZI YA ZEBAKI MIGODINI YAWEKA HATARINI AFYA NA MAZINGIRA
Takribani watoto 10,000 nchini wanahusishwa na shughuli za uchimbaji mdogo wa dhahabu zinazotumia zebaki hali inayowaweka katika hatari ya kupata madhara ya kiafya kutokana…
MWENYEKITI WAZAZI TAIFA AKEMEA TABIA YA BAADHI YA VIONGOZI PWANI KUPANGA SAFU KATIKA UCHAGUZI
Na Victor Masangu, Bagamoyo Mwenyekiti wa Jumuiya ya ya Wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya amekemea vikali baadhi viongozi wa CCM wakiwemo madiwani na wabunge…
MZEE WA MIAKA 85 AMLALAMIKIA MWANAWE KUDAI NYUMBA YAKE KWA NGUVU,RC SENDIGA AINGILIA KATI
Na John Walter -Babati Mzee Juma Boki (85), mkazi wa Babati mkoani Manyara, amemlalamikia mwanawe, Salimu Boki, kwa madai ya kujimilikisha nyumba yake iliyopo…
CHATILA AFUNGUKA MIPANGO YA KUIBADILI UJENZI SPORTS CLUB
Dodoma. Mwenyekiti wa Ujenzi Sports Club, Arch. Ibrahim Chatila, amesema uongozi mpya umejipanga kuijenga timu hiyo kuwa ya kisasa, imara na yenye ushindani mkubwa…
MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA WAFIKIA MIKOA 23
Na.Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) umeendelea kupanuka na sasa unatekelezwa katika mikoa 23 ya Tanzania Bara, hatua inayoakisi mafanikio…
RAIS SAMIA AWASILI ANGOLA KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro Luanda,…
COOP BANK YAONGEZA MIKOPO HADI BILIONI 102, AMANA ZAFIKIA BILIONI 114
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Benki ya Ushirika Tanzania (Cooperative Bank Tanzania Plc) imefanya Mkutano Mkuu wa Pili wa Wanahisa jijini Dodoma,…
PAUL CHACHA AAGA TABORA KWA HISIA, SAHIHI KUTUMIKIA DHAMANA MPYA KWA UAMINIFU
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Paul Chacha, ameaga rasmi wananchi wa mkoa huo kwa ujumbe wenye hisia na shukrani, akisema anaondoka akiwa…
AWESO APOKEA UENYEKITI KAMISHENI BONDE LA MTO RUVUMA MKATABA WA UANZISHWAJI UKISAINIWA
Pemba, Msumbiji. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amepokea Uenyekiti wa Kamisheni ya Bonde la Mto Ruvuma, Uenyekiti huo utadumu kwa kipindi cha mwaka…