MNYAMA AZINDUA JEZI UNYAMANI NGORONGORO
Unaweza kusema dili limetiki kufuatia klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam kuchagua kivutio namba moja cha utalii barani Africa kufanya uzinduzi wa…
Unaweza kusema dili limetiki kufuatia klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam kuchagua kivutio namba moja cha utalii barani Africa kufanya uzinduzi wa…
Na. Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa wazalishaji nchini wanapaswa kuboresha ubora wa bidhaa zao ili ziweze…
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri akipokewa na kusalimiana kwa tabasamu na bashasha na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu…
DURBAN – AFRIKA KUSINI Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, amezishauri nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa…
Mkurugenzi wa Veta Kanda ya Nyanda za Juu Suzan Magani kushoto, akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Songea fani ya umeme wa…
Na Victor Masangu,Kibiti Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji ambao unatakelezwa na Wakala wa…
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Bi. Vicky Bishubo,…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiielekeza Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma…
Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za…
Na John Walter -Babati MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, ametoa siku 14 kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati kwa kushirikiana na…
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameielekeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuongeza uwezo wake wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Mark Kihulla amewatembelea na kuzungumza na watumishi wa Wakala huo Mkoa wa Arusha tarehe…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (wapili kushoto), akipokea mfano wa hundi ya udhamini kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango (wapili…
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni, Wilaya ya Kimbiji, Mhandisi Lukaluka Kapinga (kulia) akitoa elimu ya matumizi ya nishati safi…
Na Sophia Kingimali Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) Dar es Salaam kimesema sekta ya ubunifu wa mavazi na mitindo ina uwezo mkubwa…
Na Mwandishi wetu, Mirerani WADAU wa madini ya Tanzanite, mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, wamechangia Sh23.6 milioni kwa ajili ya kuboresha…
Maafisa na askari wa jeshi la Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro waliopoteza maisha, kujeruhiwa na kufanya kazi kwa uhodari wametunukiwa…
Waandishi wa Habari wa redio ya vijana Bongo FM wameishukuru Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kuwajengea uwezo na kuwakumbusha masuala…
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Wafanyakazi Wakusanya Mapato Tanzania (TAREWU) kimeingia makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati na Global Dynamics Consulting (GDC) yatakayolenga kuimarisha uwezo…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya kikao na wadau wa michezo ya kubahatisha ikiwemo waendeshaji kutoka makampuni mbalimbali kwa lengo la kujadili masuala ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João…
Takribani watoto 10,000 nchini wanahusishwa na shughuli za uchimbaji mdogo wa dhahabu zinazotumia zebaki hali inayowaweka katika hatari ya kupata madhara ya kiafya kutokana…
Na Victor Masangu, Bagamoyo Mwenyekiti wa Jumuiya ya ya Wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya amekemea vikali baadhi viongozi wa CCM wakiwemo madiwani na wabunge…
Na John Walter -Babati Mzee Juma Boki (85), mkazi wa Babati mkoani Manyara, amemlalamikia mwanawe, Salimu Boki, kwa madai ya kujimilikisha nyumba yake iliyopo…
Dodoma. Mwenyekiti wa Ujenzi Sports Club, Arch. Ibrahim Chatila, amesema uongozi mpya umejipanga kuijenga timu hiyo kuwa ya kisasa, imara na yenye ushindani mkubwa…
Na.Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) umeendelea kupanuka na sasa unatekelezwa katika mikoa 23 ya Tanzania Bara, hatua inayoakisi mafanikio…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro Luanda,…
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Benki ya Ushirika Tanzania (Cooperative Bank Tanzania Plc) imefanya Mkutano Mkuu wa Pili wa Wanahisa jijini Dodoma,…
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Paul Chacha, ameaga rasmi wananchi wa mkoa huo kwa ujumbe wenye hisia na shukrani, akisema anaondoka akiwa…
Pemba, Msumbiji. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amepokea Uenyekiti wa Kamisheni ya Bonde la Mto Ruvuma, Uenyekiti huo utadumu kwa kipindi cha mwaka…
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM – Bara) Ndg. Stephen Wasira ameongoza kikao kazi kilichomshirikisha Katibu Mkuu wa Chama Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro…
Meneja Mkuu wa NMB Foundation, Nelson Karumuna (katikati), na Mratibu wa Mercy Corps Tanzania, Anthony Salota, wakionyesha makubaliano ya utekelezaji wa Mradi wa Evolve…
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo, amesema maandalizi ya Maonesho ya Wakulima (Nane Nane) 2026 yamekamilika…
* Afungua Jukwaa la Wanasheria wa TANESCO jijini Mwanza *Awasisitiza kutoa ushauri wa kisheria kwa wakati na kulinda maslahi ya Shirika Na Mwandishi Wetu,…