Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM – Bara) Ndg. Stephen Wasira ameongoza kikao kazi kilichomshirikisha Katibu Mkuu wa Chama Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na Katibu Wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Kihongosi, Leo Julai 31, 2026 Ofisi Ndogo Ya CCM Lumumba Dar es Salaam.