WANASIMBA WAPIGA BIRYANI WAKIHITIMISHA HAMASA YA SIMBA DAY 2026
Na Mwandishi Wetu WANASIMBA wamehitimisha hamasa ya Wiki ya Simba 2026 kwa kushiriki kuitandika ya Biryani (Ubwawa) ya nguvu iliyoandaliwa kwa ajili yao ,…
Na Mwandishi Wetu WANASIMBA wamehitimisha hamasa ya Wiki ya Simba 2026 kwa kushiriki kuitandika ya Biryani (Ubwawa) ya nguvu iliyoandaliwa kwa ajili yao ,…
Mkurugenzi wa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati, Nolasco Mlay akizungumza katika hafla ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Serikali imezitaka kampuni na wadau wote wanaojihusha na utafiti na uchimbaji wa maji chini ya ardhi kuzingatia utaratibu wa kuwa na nyaraka halali za…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa…
▪️Fidia Shilingi bil 8.5 Imeshalipwa kwa Wananchi Waliopisha Mradi Na Adelina Johnbosco – MAELEZO Tatizo la uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 (Africa50 General Shareholders’ Meeting-GSM) uliofanyika…
Mbunifu wa mbolea ya asili ya mazao mbalimbali , Albert Ssamawa Salimu kutoka halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro akizungumza na waandishi wa habari katika…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe amefungua rasmi Maonesho ya 4 ya Bharat Tanzania Mini…
Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi (C_SDTP) kinara katika hili Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya…
* Wapo viongozi wa juu, wananchi na wanafunzi kwa ajili ya kujionea wanyamapori kutangaza utalii wa ndani *Tembo Mary awa kivutio kwenye bustani ya…
Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo…
Na Mwandishi wetu, Arusha MKUU wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala amewasihi wakulima, wafugaji na wavuvi kushiriki maonyesho ya kilimo nane nane…
Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Nanenane Nyamhongoro Jijini Mwanza ikiwa imesalia siku moja maonesho hayo…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia kadi ya kidigitali kuingia katika Kituo cha abiria cha mabasi yaendayo…
Na WMA – DODOMA. Wanafunzi wa Klabu ya Vipimo (Vipimo Club) kutoka Shule ya Msingi Mtemi Mazengo ya jijini Dodoma, wamegeuka walimu kwa siku…
Vijana na wanawake wapewa kipaumbele kunufaika na mnyororo wa thamani wa madini 📍DODOMA Serikali kupitia Tume ya Madini imefungua fursa za biashara zenye thamani…
Na. OWM–TAMISEMI, Kilosa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi,Ajira na Mahusiano Deus Sangu ( shati la njano) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria…
Kamishna wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai CP Shabani Hiki, akipokea kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus…
Meneja wa tawi Benki ya Azania, Ambokile Tuntufye akimkabithi zawadi Mkuu wa wilaya ya Hai mara baada ya kutembelea banda hilo Nanenane ,Njiro .…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa…
Afisa Mazingira wa kampuni hiyo,Getruda Salingo akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja Themi, Njiro mkoani Arusha. Happy Lazaro,…
Lindi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameipongeza kampuni ya Yas kwa ushiriki wake katika…
NA DENIS MLOWE- DAR ES SALAAM VICTORIA Group ambao ni waandaaji wa mbio za VG Fun Run 2026 wamesema maandalizi ya tukio hilo…
Jukwaa la Nane la Wadau wa Maendeleo ya Bonde ya Mto Nile (NBDF8) limezinduliwa rasmi nchini Tanzania.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma…
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mhe. Rukia Zuberi, amesisitiza kuwa amani na usalama ni nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa, akibainisha kuwa Serikali itaendelea…
Dar es Salaam-Tanzania, 07 Agosti 2026: Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia leo, Serengeti Breweries Limited (SBL) inaungana na maadhimisho hayo kwa…
Kuna wakati katika uongozi wa nchi ambapo nguvu ya kiongozi haipimwi kwa wingi wa maneno anayoyasema, bali kwa ukubwa wa maono anayoyaacha yakitekelezwa. Hivi…
Serikali imewataka wakulima, wafugaji, wavuvi na wajasiriamali nchini kutumia elimu ya ushindani wa haki na ulinzi wa mlaji kama nyenzo ya kuongeza thamani ya…
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Ilala Bw. Musibu Shabani amesema kuwa TRA imejidhatiti kuhakikisha biashara zinakua kwa kukusanya kodi…
Mwakilishi kutoka kampuni ya Zawadi Agrovety ,Hawa Abdallah akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma wanazotoa katika maonesho ya nanenane Njiro. Mwakilishi kutoka kampuni…
Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj Jabir Mussa Shekimweri, Agosti 06,2026 ametembelea banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi…
Dodoma Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda, Agosti 06,2026 ametembelea banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Maonesho ya…
Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule, Dkt. Ephraim Simbeye,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Ualimu vya Serikali na visivyo vya…