Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia kadi ya kidigitali kuingia katika Kituo cha abiria cha mabasi yaendayo haraka cha Water front, jijini Dar es Salaam, kabla ya kuelekea Mtoni kwa Aziz Ally kwa ajili ya kufungua Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya basi liendalo haraka wakati akielekea Mtoni kwa Aziz Ally, kufungua Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.
Matukio mbalimbali kwenye hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wakati akielekea Mtoni kwa Aziz Ally kwa ajili ya kufungua Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Awamu ya Pili (BRT II) unaohusisha Barabara ya Kilwa, Chang’ombe, Sokoine na Kawawa, Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Agosti, 2026.
