Kamishna wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai CP Shabani Hiki, akipokea kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Hati ya Shukrani kutoka Umoja wa Vijana wenye Ualbino Tanzania (TYAF) kwa kutambua jitihada za Jeshi la Polisi katika kulinda usalama wa raia na mali zao. hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Agosti 7,2026 jijini Dar es salaam. PICHA NA JESHI LA POLISI