Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

DKT BITEKO MGENI RASMI TAMASHA LA MKESHA WA MUUNGANO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko Leo 25 Aprili, 2024 ameshiriki kwenye Tamasha la mkesha wa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika sambamba na maadhimisho ya miaka 10 ya Efm Radio. Hafla hiyo inayofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam, imevutia mamia ya washiriki kutoka pande mbalimbali za Jiji. Tamasha pia limehudhuriwa

John Bukuku By John Bukuku

DC LULANDALA AWAONGOZA WANA SIMANJIRO MKESHA WA MUUNGANO 

Na Mwandishi wetu, Simanjiro  MKUU wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Fakii Raphael Lulandala amewaongoza mamia ya wakazi wa eneo hilo kwenye mkesha wa maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lulandala akizungumza kwenye mkesha huo ambao umetumika pia kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza mbashara na watanzania kwa njia ya runinga amesema wana Simanjiro wameitikia vyema

John Bukuku By John Bukuku

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWEKEZA KABLA YA KUSTAAFU

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifunga mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Natu El Maamry Mwamba, uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar Es Salaam. Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Fedha, ambaye pia

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA MAWAZIRI EAC LAKUTANA JIJINI ARUSHA

Mkutano Maalum wa 53 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umefanyika leo tarehe 25 Aprili 2024 Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo, pamoja na masuala mengine umejadili na kupitisha Makadrio ya Bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo umeongozwa na Naibu Waziri wa Mambo

John Bukuku By John Bukuku

CHUO CHA BAHARI DMI KIMESHAZALISHA WATAALAM WA BAHARI 5.177

Kaimu Meneja wa Utafiti na Usahuri Elekezi na Machapisho, Chuo cha Bahari (DMI) Jonnes Lugoye akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. ............................  NA JOHN BUKUKU, DAR ES SALAAM Katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano Chuo Cha Bahari (DMI) kimefanikiwa kupiga hatua katika nyanja

John Bukuku By John Bukuku

ASHTAKIWA KWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO MKOANI TABORA

Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora, mbele ya Mhe. Demetrio Nyakunga, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora, imefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Namba ECC. 10892/ 2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Michael Fredrick Mgongo Mhadhiri katika Chuo Cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tawi la Tabora. Mwendesha Mashtaka kutoka TAKUKURU Bi. Mwanaidi Mbuguni ameieleza Mahakama kwamba

John Bukuku By John Bukuku

MABADILIKO YA MUUNDO NA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAKUMBUSHO KUBORESHA UTENDAJI 

................. Mwenyekiti wa Bodi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Dkt.Oswald Masebo amesema Serikali imeweka thamani kwa Makumbusho ya Taifa la Tanzania kama Taasisi muhimu ya kimkakati kwa ustawi wa Taifa kwa kuridhia marekebisho ya muundo na sheria ya Taasisi hiyo. Dkt.Masebo ametoa kauli hiyo leo tarehe 25 Aprili 2024 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Makumbusho ya

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara