Saturday, May 9, 2026

Top Stories

View all
WAZIRI MKUU AITAKA AKDN IKAMILISHE MJADALA NA NHIF

WAZIRI MKUU AITAKA AKDN IKAMILISHE MJADALA NA NHIF

********************************* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) ukamilishe majadiliano yao na Mfuko wa Taifa wa Bima ya…

NAIBU SPIKA AONGOZA KIKAO CHA BODI YA LSP

NAIBU SPIKA AONGOZA KIKAO CHA BODI YA LSP

Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah kizungumza katika kikao cha Bodi ya Mradi wa Kulijengea…

NAIBU SPIKA AKUTANA NA MKURUGENZI UNDP

NAIBU SPIKA AKUTANA NA MKURUGENZI UNDP

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity…

ASTON VILLA YAREJEA LIGI KUU UINGEREZA

ASTON VILLA YAREJEA LIGI KUU UINGEREZA

Aston Villa imerejea ligi kuu ya Uingereza baada ya kushuhudia timu hiyo ikiyeyusha matumaini ya kupanda daraja kwa kocha wa Derby Country ambaye ni…

Wabunge Wanawake Dar, Watoa Ujumbe Mzito UWT

Wabunge Wanawake Dar, Watoa Ujumbe Mzito UWT

Wabunge wa viti maalum Mkoa wa Dar es salaam wamewataka wanawake wa umoja wa wanawake  CCM  (UWT) kuwa na umoja na mshikamano kuelekea uchaguzi wa serikali…

WAZIRI NDALICHAKO AIPA KAZI NACTE

WAZIRI NDALICHAKO AIPA KAZI NACTE

Waziri wa Elimu Sayansi na Technolojia Prof.Joyce Ndalichako akipokea maelekezo kutoka kwa Mhadhiri wa Chuo Mipango Ezekiel Kanire, juu ya kazi mbalimbali zinazofanywa na…

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA

Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Hamid Njovu akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na madiwani katika kikao kawaida cha baraza hilo lilofanyika katika…

GST  Yavuka Lengo Ukusanyaji wa Mapato

GST  Yavuka Lengo Ukusanyaji wa Mapato

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO Hadi kufikia Machi mwaka huu, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi…

BINTI HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI MSAADA WAKO

BINTI HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI MSAADA WAKO

Happiness Stephen Makala,mkazi wa mtaa wa Busulwa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga anaomba msaada wa matibabu kwa mtoto wake aitwaye Rogathe Cyprian Makala…